Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Sema.kosa moja la hao staff lenye kufanya wakamatwe, hao staff wa menge kuna ma graphic designer tu, wahariri wa other news, watangazaji, etc, hakuna mmbea wa kupeleka habari, wanaompa habari ni watu binafsi, muwatafte hao, sio wafanyakazi, mtu kasonea graphic design etc job ipatikane eti aache kisa wewe au watu wanaona ile kazi haifai, utamlisha wewe na kumlipia bills? watu wanahaha ajira hakuna maisha magumu then kazi itokee eti aache kuapply, kisa Chapwa 24 anasema sio kazi[emoji53]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Kulazwa ICU ni upuuzi? Ni ujinga?
 
Kwahiyo mtu akivamiwa na majambazi unataka umlaumu yule aliyevamiwa kisa hakuwa na machine gun ya kujilinda huku unamtetea yule jambazi aliyeiba kwamba hajafanya kosa?! Are you insane?!
 
umesomea graphic design kudesign mambo yanayoumiza wengine, mambo illegal? and you expect the goverment just to look at you bila kukupiga hata kibao. chukua mfano mtu anayedesign mambo ya kigaidi akifanya kazi chini ya gaidi, utamwacha tu kwasababu yeye sio gaidi mkuu? hao wote ni accomplice wanafanya jambo kwa pamoja.
 
Kurekodi ni kosa moja, na kusambaza ni kosa lingine, na kila kosa lina adhabu yake, hii video itamgharimu sana, kufungia hio app ni dakika tu, kama zilivyofungiwa xvideos, hivyo tunatafuta kibali tu, mitandao ya simu wapewe agizo moja hatari sana, na watatekeleza ASAP
 
bado na mitandao ya simu ambako pesa za udhalimu kama hizi zilipitia, na mabenki ambako zilipelekwa. ningekuwa mimi ningewithdraw haraka. ajabu ni kwamba, hawezi kutransfer kwenda kwa mtu mwingine, labda atransfee ziende nje. akituma kwa mtu wa bongo hapahapa wanamrukia pia.j imagine mtu kama Sugu, amekuwa mbunge, halafu mtu anakuja kumrusha yeye na mkewe kuwa wanakulana tigo, na hana pa kujitetea, mtu kaamua tu kumchafua. yule dada atakuwa ameumia kiasi gani, achana na sugu kwasababu ni sugu. ndugu zake yule dada, marafiki zake, anapotembea mtaani watu wakimwangalia wanajua analiwa huo uchafu. atakuwa amumia kiasi gani? halafu through that, mtu kapata pesa ati.
 
Asichoelewa ni kwamba anaumiza watu vibaya mno, hata kama ingekwa Sugu ana tabia ya kula tigo kweli, kuna taratibu za kufuata ili muhusika awajibishwe na sio kupita shortcut moja kwa moja na kuanza kumtangaza mtu eti anakula tigo, what happened to ‘innocent untill proven guilty’? , mtu hata hajapewa nafasi ya kusikilizwa umeshamrusha na kumdhalilisha, mtu aliyeumizwa kama huyu anaweza hata akakutumia assasins, who knows kaumia kwa kiwango gani?!
 
Rudi darasan.....maana inaonesha mwalimu wako alipoishia kwenye tense na we ukaishia hapohapo

Mimi nadhani wewe MR. BINGO ndio urudi darasani kwani lugha ya Malkia inakupiga chenga!!
 
Mfano wako haumake sense, wala hauko related na nilichosema. Find another one.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Vipi mafuriko huko ipinda mko salama mko.isije kuna mafuriko na jamaa humu JF wana kustress na issue za Mange.pole ndg yangu inaonekana umeumizwa sana kushambuliwa kwa jembe lako Mange.
 
Mange wewe ni 🚮🚮🚮
 
Mfano wako haumake sense, wala hauko related na nilichosema. Find another one.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Haumake sense kivipi wakati wewe unataka kulaumu victim kisa hakuweka mifumo imara ya kujilinda na attackers , wakati huo huo una pacify uovu wa yule attacker?! Same case kulaumu hospitali kisa hawakuweka cameras na kumsafisha alietenda uovu wa kurekodi?! Kumbe mtu mwenyewe huna hoja halafu mwepesi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…