Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Sema.kosa moja la hao staff lenye kufanya wakamatwe, hao staff wa menge kuna ma graphic designer tu, wahariri wa other news, watangazaji, etc, hakuna mmbea wa kupeleka habari, wanaompa habari ni watu binafsi, muwatafte hao, sio wafanyakazi, mtu kasonea graphic design etc job ipatikane eti aache kisa wewe au watu wanaona ile kazi haifai, utamlisha wewe na kumlipia bills? watu wanahaha ajira hakuna maisha magumu then kazi itokee eti aache kuapply, kisa Chapwa 24 anasema sio kazi[emoji53]hivi kweli unaweza kuita kazi ya Mange, kazi? kuchukua madhaifu ya wengine na kuyaanika bila hata kuchuja hadharani, watu wanaumizwa sana na mange, wanachafuliwa majina hadi biashara hadi sehemu zao za kupatia riziki zinaharibiwa, na kumbe alikuwa na ofisi hapahapa bongo? mimi nilitegemea wafanyakazi wake wawe wamekamatwa muda mrefu sana.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app