Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Hahah.. sas unataka hospital zizuie watu wasiingie na simu wodin au kila mtu atembee na mlinzi? Watazuiaje isitokee kabisa[emoji28]

Kitu naweza kuku- support hpo ni huo unafki wawabongo, wao hawaangalii nini kimefanywa Bali nani kafanya na nani kafanyiwa As if hyo Mange ameanza leo kuwabully watu[emoji51]
 
wawe na cameras , wanashindwa nini kueka camera ili kucontrol sehemu muhimi kama ICU? Hiyo itawasaidi kwa 85% kama sio kumkamata basi kumuona alofanya tukio ama anaehatarisha usalama wa wagojwa, kwa hili is like hospital haina camera sehemu.muhimu na hii inawapa ngivu watu wabaya, wataenda watafanya yao and no one will even suspect them.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
ungejua hata sina hiyo App , ila nimeona niwachane tu ukweli, humu ndani hasa gii thread wamejaa wanafki watupu (sio wote).

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Haa [emoji2][emoji2] mkuu bwana acha hizi mzee kama unayo hio app si useme tu


No judgement here. mbona wanaume wengi wanayo . hio ni kawaida tu
 
NA KWANZIA SAHIVI MTAKUA MKIJA KIJIWENI, MASKANI,HATA BAR TUKIWA TUNAPATA MOJA MOTO MOJA BARIDI MNATOA LOCK MNATUONYESHA APPS ZA SIMU ZENU TUKIIKUTA ILE APP TUNAKUTIMUA HAMKAWIHI KUTUUZA

NA HATUKATAI KAMA UNAYO UNAITUMIA BE PROUD ITETEE KAMA JAMAA WETU WA IPINDA HAPO JUU HATUWEZI KUKU JUDGE BE PROUD

ILA TU KAMA UNAYO ILE APP BORA UKAE NYUMBANI NA MKE WAKO TUSIKUONE MASKANI
 
Haa [emoji2][emoji2] mkuu bwana acha hizi mzee kama unayo hio app si useme tu


No judgement here. mbona wanaume wengi wanayo . hio ni kawaida tu
No thats true, na nitakua nayo sema malipo ya mastercard yangu yalikataa kwangu so nashindwa kujiunga, ila niliidownload, niliposhindwa kulipia ndio nikaifuta.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Muda si muda ataanza kumtukana Mama sasa.
Yaani huko anatype anafuta, anatype anafuta bado ana kale ka haya,Sasa Mara ya mwisho ana type bonge la kichambo halafu anachukua grants anakunywa grass 1,akitoka hapo full anergy anabonyeza send!Kesharibu!
 
Baba yake akimungalia binti yake anapata ukakasi kabisa.
 
Achunguzwe vipi wakati ametokea ipinda karibu na mto lufilyo sasa si wa Kyela kabisa huko green city
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Bwana ipinda hatuna mazwazwa.
Huyu asituchafulie jina .
Nimetamani nimtandike na ngumi ya kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Anakeraaa..nilivyoona anaandika pumba sijahangaika kumsoma .
 
Kwanza Sugu awajibishwe kwa Nini?hayo Ni Mambo yake ya faragha na mke wake Hamna Sheria imekataza mume na mke kufanya Mambo Yao vile wanataka...kwanza Nani aliingia chumbani kwao kuwaona wanafanya hayo mambo kamasio Uzushi na uongo na umbea?
 
Hata Kama kaanza kubully watu Siku nyingi ndio raia washamchoka!yeye kuanza bullying Siku nyingi hakumpi uhalali wa kuendelea kuwabully watu....nyinyi mnaotetea upumbavu wake ndio wanafiki Nyie angefanyiwa baba yako au mama yako au mtoto wako vile ungeona ni sawa?au kwa vile Ni mkuki kwa nguruwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…