Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 695
- 1,960
Hahah.. sas unataka hospital zizuie watu wasiingie na simu wodin au kila mtu atembee na mlinzi? Watazuiaje isitokee kabisa[emoji28]Hiyo hata ningekua mimi siwezi sema, wao wajipange upya, lisije jirudia, awaambie kwa nini, uzembe wao ndio umefanya wasijue nani alirecord. Waache uvivu wafanye mambo kisasa sio kutegemea matukio yatokee watafte mtu wa kuwaelezea, No.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kitu naweza kuku- support hpo ni huo unafki wawabongo, wao hawaangalii nini kimefanywa Bali nani kafanya na nani kafanyiwa As if hyo Mange ameanza leo kuwabully watu[emoji51]