Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa


Nadhani tujiulize kwa nini mange tu kila siku?. Shida ya mange yeye analenga kudharilisha watu. Kuna kipindi alimshbulia Rais Magufuri kwamba alizaa na shemeji yake na wakazaa mtoto anaitwa jurgen. Alisambaza Sana picha ya huyo jurgen mtandaoni. Kudharisha watu sio uandishi wa habari.
 

Wewe unaongea hujaiona video. Kaiangalie Video kwanza ndio uje utoe conclusion. Naendelea kukumbusha kasome cyber crimes Act. Makosa ni mengi Sana kwenye hiyo sheria kiasi kwamba sheria ikiwa applied wengi tutaenda selo.

Ni kosa la jinai kusambaza picha ya mtu au video bila ridhaa yake. Mambo mengine ni kujitetea tu.
 
Haya polisi kashapata PC muda wa kufungua movie studio kimselele.
 
Mange Leo (kwa mwezi huu tu) amepata zaidi ya billion 2 maana more than 2milion users were online. Huyu hata akifungiwa mpunga alokusanya unamtosha kufanya chochote cha maana
 
App idumu milele
Labda hata ukimwi utapungua
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vimevamia ofisi za mange KIMAMBI app eneo la kinondoni ikiwa ni pamoja na kuondoka na vifaa vyote vya ofisi pamoja na kukamata wafanyakazi wote

My take- huyu CHUCHUNGE alikuwa kazidi unoko Sana..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…