Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Wala haungi habari, she has Masters degree anajua anachokifanya, habari anapelekewa, anazifanyia uchambuzi anazitoa, sometimes yes anakosea na hua anasema kama akithibitisha habari si ya kweli hata huiondoa kabisa na kuifuta.

Watu wakiacha kumpatia habari wala hatokua na habari za kupost ila wabongo wamejaa kule kwake wanampa na evidence

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Nadhani tujiulize kwa nini mange tu kila siku?. Shida ya mange yeye analenga kudharilisha watu. Kuna kipindi alimshbulia Rais Magufuri kwamba alizaa na shemeji yake na wakazaa mtoto anaitwa jurgen. Alisambaza Sana picha ya huyo jurgen mtandaoni. Kudharisha watu sio uandishi wa habari.
 
Watu waongelee hilo sasa, pia kwa example ya lemutuz, kumbuka walikua na ugomvi and you canmot choose silaha soft ya kumpigia adui, you take the one which hurts the most.

Hata hiyo ya prof J, still haikua iwe big deal like how you guys preaching here. Picha za watu kulazwa ICU mbona ziko nyingi hata watu hupost za ndugu zao ili watu wamuombee mgonjwa, how comes iwe big deal?

Angekua amepost video ya mgonjwa hajavaa nguo ingemake sense, ama angeandika madharau kwa mgonjwa hapo sawa, ila video tu watu.mnang'aka kama ameua, mnazidiwa bwana sio kweli.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Wewe unaongea hujaiona video. Kaiangalie Video kwanza ndio uje utoe conclusion. Naendelea kukumbusha kasome cyber crimes Act. Makosa ni mengi Sana kwenye hiyo sheria kiasi kwamba sheria ikiwa applied wengi tutaenda selo.

Ni kosa la jinai kusambaza picha ya mtu au video bila ridhaa yake. Mambo mengine ni kujitetea tu.
 
Haya polisi kashapata PC muda wa kufungua movie studio kimselele.
 
Mange Leo (kwa mwezi huu tu) amepata zaidi ya billion 2 maana more than 2milion users were online. Huyu hata akifungiwa mpunga alokusanya unamtosha kufanya chochote cha maana
 
Ukweli usemwe, 85% ya habari zake ni kweli wala hatungi, hadi siku akiandika habari ambayo unaijua 100% ndio utaamini, it happened, i was once like you nilikua sijawahi kumkubali hata mala moja, ila m alindika something ambacho hadi.lwo huwa najiuliza who told her about that na sijui ila was true 100% japo najua someone withing those few people who knew lazima alisema mahali na huko alikosema wakamfikishia Mange, so she is right mala.nyingi tu, sababu hagungi story.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
App idumu milele
Labda hata ukimwi utapungua
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vimevamia ofisi za mange KIMAMBI app eneo la kinondoni ikiwa ni pamoja na kuondoka na vifaa vyote vya ofisi pamoja na kukamata wafanyakazi wote

My take- huyu CHUCHUNGE alikuwa kazidi unoko Sana..
😂😂😂
 
Back
Top Bottom