Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mbona una hasira sana na bavicha?Mabavicha ingekuwa kipindi kile yangesema ni udikteta!
Leo lile jini lao walilolilea limeamua kuwanyonya damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi bavicha walikua wana support harakati zakeHuyu Mange anayejadiliwa humu ndio nani kwani?
Wabongo bhana kwa hiyo kisa alimpost prof jay inahalalisha ofisi zake kuvamiwa
Two wrongs doesn't make right
Bushmamy unataka kusema hukuiona?We uliiona?
Tunasubiri baadae bomu linaachiwa😃Mwamposa anasemaje kwani, maana bidada alitaka kumchafua mtumishi wa Mungu,
Ukiangalia nyuzi pembe ndo utamuona aliyechukua video? Nieleweshe tafadhali mkuu.Sijaiona hiyo video, na staki kuiona sasa. Lakini, kama wapo makini wachunguzi wetu mpiga picha video hiyo anaweza kujulikana.
Kwanza kwa kuangalia nyuzi pembe ilipochukuliwa video hiyo, kisha "scanning" ya uelekeo huo inafanyika kwa weledi mkubwa. Hapo lazima apatikane muhusika.
Yawezekana ukawa na tatizo Kubwa la Ugonjwa wa Akili ila bado hujaligundua au Watu wako wa karibu hawajakugundua. Tafuta Tiba ya haraka uweze Kupona tafadhali.Safi Sana polisi
Huyu dada anajikuta nani hivi?
Hana utu kabisa na ugonjwa wa mtu halafu ety ngwe ngwe ngwe!.
Kwanza hilo li app walio download nawaona hawana akili.
Njaa haina Adabu.Na hujiulizi tu kwanini muajiri wako anakupa kazi ambayo yeye hawezi kuifanya akiwa hapa TZ !
Ofisi haijavamiwa isipokuwa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma. Kumshikilia mtuhumiwa si kosa.Wabongo bhana kwa hiyo kisa alimpost prof jay inahalalisha ofisi zake kuvamiwa
Two wrongs doesn't make right
Umbea Whistleblower.Huyu Mange anayejadiliwa humu ndio nani kwani?
Kama kuna post ambayo ilitakiwa ipate Likes nyingi katika Uzi huu ni hii yako Mkuu kwani Umeandika Ukweli mtupu ila kutokana na Unafiki wetu tunajifanya kama hatujakuelewa. Binafsi nimekuelewa vyema kabisa na nakubaliana nawe kabisa.Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea? kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili? ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe. Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Ushamba na mm nasisitizaSasa mbona analeta kiburi aisee..ngoja wenzie wamuoneshe ya kwamba kiburi dawa yake jeuri..ila kuna mambo Tz yanatia kinyaa aisee unakuta mtu mzima kalipia App eti aone jinsi watu wanavyochafuliwa..ushamba wa mjini ni mzigo sana aisee
Alibakwa kisa nnBaba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.
Mama yake aliugua uchizi
Mtoto ndio huyo sasa.
Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa. Mambo Kama hayo awafanyie kina bashite
Hivi TISS ndiyo nini?TISS huwa hawadeal na watu wapuuzi kama hawa..sio threat kwa taifa ni vile tu ni chizi,Hapo OHIO upo mji gani?
Ndo Mange mwenyewe huyo.Mods piga ban huyu chawa wa huyo mange anatuletea ujinga hapa kwanza ni New member huyu.
Anaweza kuwa ndiye, kwa nini anatumia nguvu nyingi kutetea makosa? Huwezi kualalisha kosa kwa kosa.Tangu uzi uanzishwe ni comment ya 155, of all the people nimeona PHALLER mmoja tu,
Narudia,
Nimeona PHALLER mmoja tu ndio anamtetea, hana akili.
Ni Coomer tu kama ma-Coomer wengine.
Nimekereka sana.