Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Tangu uzi uanzishwe ni comment ya 155, of all the people nimeona PHALLER mmoja tu,

Narudia,
Nimeona PHALLER mmoja tu ndio anamtetea, hana akili.

Ni Coomer tu kama ma-Coomer wengine.

Nimekereka sana.
Coomer ni nani
 
Watoto wa watu wananyea debe yeye bado anaongea pumba sijui hata akili zake zimekalia wap[emoji35]
App ndio ishakufa [emoji2]

Tulisema hatofika mbali

Uzoefu unaonyesha huwa anaishiaga njiani.

Watoto wa watu wako nyuma ya nondo kisa ugali.
 
Ila hao vijana huko polis sijui hatma yao itakua nini? Maana nachoona hapo kuna mkono wa serikal na kuna mkono wa wale waliotendwa na ile app! Nadhani hata wakitoka hawataitaka tena ile kazi na sijui kama atapata wafanyakazi wapya labda ahamishie ofisi kenya!
 
New member mwengine katumwa
Kwahiyo alichofanya bosi wenu ni sawa?
Huyo na wewe nendeni milembe mkatibiwe mnafanya ujinga mnaita mawazo ya mtu..
Kwenda huko bwana, mnajifanya mnamakasiliko for nothing, pia tunatetea sio kwa sababu tunajuana na huyo mange ila.kwa sababu wengi wenu hapa wanafki tu, amlaanie binadamu mwenzake nae amelaaniwa vile vile, watu wanajifanya hapa kumlaani Mange na kutanka maneno mabaya na yatawarudia wote sababu asie na dhambi awe wa kwanza kumyooshea kidole. Anahabarisha tu, au kisa aljazerra, BBC , CNN wanagumia lugha nzuri ndio sio big deal? because wao pia huspost maudhui ya wagonjwa, vifo, vita ect huko hamuumii ila la prof J imewauma sana.... kajsvejsjssos.sj[emoji34]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Skiliza mange
Kama ulidhani hapa jf kuna nyumbu wako na makerubi Kama Huko insta basi ulikosea Sana.

Unatakiwa ukamatwe na kupelekwa milembe ukakae Huko yote uliyofanya kwa kuumiza family za watu bado unajiona una akili? Idiot

Vichaa huwa wanajiona wapo sawa kiakili kumbe kwa nje mnavuja ubongo.
Vichaa pia huona wenye akili nao vichaa, so sikushangai, kujifanya smart amd polite while you look like an idiot, si unywe chupa ufe kama umekasirishwa sana.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
App ndio ishakufa [emoji2]

Tulisema hatofika mbali

Uzoefu unaonyesha huwa anaishiaga njiani.

Watoto wa watu wako nyuma ya nondo kisa ugali.
hahah utasubiki sana App yake kufa, hilo la App ndio linawaumiza sana yani siku akifungiwa ndio roho zenu zitatulia, tatizo hatofungiwa sasa, pia huezi zuia watu wadifatilie maudhui yake, pia hahitaji watu wa nchi nzima mfatilie, anataka wachache tu, mnamfatilia sana alafu hapa.mnajifanya kila.mtu hana App wala page yake ya insta huku habari zake zote anazopost mnazijua, acheni unafki Watanzania.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Pengine hiyo video japo sijaiona ilikuwa haina lengo baya the way we thought ilikuwa labda tuone mwenzetu yupo serious na tuzidishe MAOMBI KWA MAULANA.
shangaa na wewe mkuu, video wala haina ubaya ila watu hapa wanajifanya wameguswa kama wameona mtu akiuawa, wanawaka na kufoka kama wamekutana na jini.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom