Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Musiba alisema mange alizaa na baba yake!Aulizwe tu kwanini hakupost video ya ICU ya Dr.Mwele ambaye ni mama yake wa kufikia??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musiba alisema mange alizaa na baba yake!Aulizwe tu kwanini hakupost video ya ICU ya Dr.Mwele ambaye ni mama yake wa kufikia??
Hivi ni kweli?Au ile video ya baba yake pale hotelini kwao!
Ni wanawake, sema wabanwe Nini.Bana korodani hao waliokamatwa, yaani wabongo washaona ishu za udaku ni kazi rasmi...
Aisee Musiba alifika mbali mnoMusiba alisema mange alizaa na baba yake!
Kumbe ndo maana akamtuma rafiki yake wema akapige picha ya kiba100!Hivi ni kweli yule mzee walimvunjia yai?
Maana lemutuz alikua anamjazibisha sana kwa kumuambia kuhusu hili tukio la baba yake.
NaamUnataka kusema Dr Mwele (RIP Legend) alikuwa ameolewa na mzee Kimambi?
NaamUnataka kusema Dr Mwele (RIP Legend) alikuwa ameolewa na mzee Kimambi?
Naam
Ni wanawake, sema wabanwe Nini.
Aje awatoe Au awatumie wakili kutoka marekaniApp ndio ishakufa [emoji2]
Tulisema hatofika mbali
Uzoefu unaonyesha huwa anaishiaga njiani.
Watoto wa watu wako nyuma ya nondo kisa ugali.
🤗🤗Kwanza mtu unawezaje kusimama mahali ukajitambulisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa Mange! 🤣
hahahaNi wanawake, sema wabanwe Nini.
Kwa maana hiyo afya ya mtu ndio umbea kwako? Subiri libishe hodi kwenye familia ndio utajua hujuiAcheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea?
Kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili?
Ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe.
Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
AiseeeNaam
ItafahamikatuOfisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.
Kweli kujipendekeza hakulipi.
Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu.
Prof Jay Mungu aendelee kukupigania.
========
Mange kaandika:
Yes, mlichosikia ni kweli kabisa.
ofisi nzima watu zaidi ya 10 wako central toka jana asubuhi.
Nna mengi ya kusema, yani nataka kuharisha haswa ila sasa inabidi nitumie akili.
Wamefunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya mitandao kutokana na ile clip ya Professor Jay. Wanataka kujua nani alienipa ile clip. Tatizo ni kwamba hao wafanyakazi hata wawachape viboko hakuna hata mmoja wao ataewapa jibu. Hata wawaeke ndani mwaka hakuna wa kuwapa jibu maana hawajuiiii. Mimi peke yangu ndo nina uwezo wa kuwaambia clip imetokea wapi ila mimi huwa nafuta chats zangu soon as nikifanyia kazi kuepusha sources zangu kujulikana iwapo ntapoteza simu
It’s seems wanawashikilia wafanyakazi wangu kama kunikomesha mimi, ila tatizo ni kwamba mimi niko marekani nimeweka nne wanaokoma ni watoto wadogo, watoto ambao hawana hata impact yoyote na app, hao watoto wako ndani toka jana asubuhi na Mange Kimambi App onaendelea kama kawaida kilichokuwa affected kwenye App ni hard news na sports. Mpaka hapo ilibidi wajue wamewashikilia innocent people.
So it seems wanataka mimi niwaambie nani kanitumia ile clip ndo hii kesi iishe ili waweze kudili na huyo mtu. Tatizo ni moja.
1. Siwezi kumjua huyo mtu maana nilishadelete chats zetu.
2. Hata ningekuwa sijadelete chat bado nisingetaja nani kaniambia. Yani hata waifunge App , siwezi kusema sources zangu, nini kuwakamata wafanyakazi, hata nifanywe nini nisingemtaja aliesema. Bora nife kuliko kusema nani ndo aliniambia nini. Yani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless ila siwezi kumwaribia mtu mwingine maisha yake kwa kumtaja ili nijiokoea mimi. I ain’t no snitch!!
3. Na hao Muhimbili wanajipa headache bure wafanyakazi wao wamuhimbili wako innocent. Sikutumiwa ile clip na nurse, wala doctor wala mfanyakazi.
Polisi Kesi ya vijana wangu ina dhamana ila toka jana mnawanyima dhamana why??? Dhamana ni haki yao. Tanzania tulishapita hiyo stage ya kufanyia ubabe na kwenda kinyume na sheria. Wapeni vijana haki yao ya dhamana.
Yani ni hivi hao vijana wangu hata muwabane pumbu na spana hakuna atakaewaambia chochote, coz HAWAJUIIII!!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mtadanganywa mpaka lini taifa la Mungu? Situkeni raiaTunasubiri baadae bomu linaachiwa[emoji2]
Nilivyoona umeandika mala badala ya mara.Nikajua kuna shida sehemu.Ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? Wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing.
Shida wanajua huyo Mange atawaandika huko siku koja so wagu wanajihami App yake.ifungwe ili waendelee kua safe na ujinga wao
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nani huyo anatudanganya?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mtadanganywa mpaka lini taifa la Mungu? Situkeni raia