Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

App ndio ishakufa [emoji2]

Tulisema hatofika mbali

Uzoefu unaonyesha huwa anaishiaga njiani.

Watoto wa watu wako nyuma ya nondo kisa ugali.
Aje awatoe Au awatumie wakili kutoka marekani

Ova
 
Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea?

Kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili?

Ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe.

Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kwa maana hiyo afya ya mtu ndio umbea kwako? Subiri libishe hodi kwenye familia ndio utajua hujui
 
Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa.

Kweli kujipendekeza hakulipi.

Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu.

Prof Jay Mungu aendelee kukupigania.

========
Mange kaandika:

Yes, mlichosikia ni kweli kabisa.
ofisi nzima watu zaidi ya 10 wako central toka jana asubuhi.

Nna mengi ya kusema, yani nataka kuharisha haswa ila sasa inabidi nitumie akili.

Wamefunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya mitandao kutokana na ile clip ya Professor Jay. Wanataka kujua nani alienipa ile clip. Tatizo ni kwamba hao wafanyakazi hata wawachape viboko hakuna hata mmoja wao ataewapa jibu. Hata wawaeke ndani mwaka hakuna wa kuwapa jibu maana hawajuiiii. Mimi peke yangu ndo nina uwezo wa kuwaambia clip imetokea wapi ila mimi huwa nafuta chats zangu soon as nikifanyia kazi kuepusha sources zangu kujulikana iwapo ntapoteza simu

It’s seems wanawashikilia wafanyakazi wangu kama kunikomesha mimi, ila tatizo ni kwamba mimi niko marekani nimeweka nne wanaokoma ni watoto wadogo, watoto ambao hawana hata impact yoyote na app, hao watoto wako ndani toka jana asubuhi na Mange Kimambi App onaendelea kama kawaida kilichokuwa affected kwenye App ni hard news na sports. Mpaka hapo ilibidi wajue wamewashikilia innocent people.

So it seems wanataka mimi niwaambie nani kanitumia ile clip ndo hii kesi iishe ili waweze kudili na huyo mtu. Tatizo ni moja.

1. Siwezi kumjua huyo mtu maana nilishadelete chats zetu.

2. Hata ningekuwa sijadelete chat bado nisingetaja nani kaniambia. Yani hata waifunge App , siwezi kusema sources zangu, nini kuwakamata wafanyakazi, hata nifanywe nini nisingemtaja aliesema. Bora nife kuliko kusema nani ndo aliniambia nini. Yani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless ila siwezi kumwaribia mtu mwingine maisha yake kwa kumtaja ili nijiokoea mimi. I ain’t no snitch!!

3. Na hao Muhimbili wanajipa headache bure wafanyakazi wao wamuhimbili wako innocent. Sikutumiwa ile clip na nurse, wala doctor wala mfanyakazi.

Polisi Kesi ya vijana wangu ina dhamana ila toka jana mnawanyima dhamana why??? Dhamana ni haki yao. Tanzania tulishapita hiyo stage ya kufanyia ubabe na kwenda kinyume na sheria. Wapeni vijana haki yao ya dhamana.

Yani ni hivi hao vijana wangu hata muwabane pumbu na spana hakuna atakaewaambia chochote, coz HAWAJUIIII!!
Itafahamikatu
 
Well.... Mange alivyopost ile video sio kosa ni watu tu hapa wamevimbiwa na mandondo wanachanganya privacy na confidentiality ya mgonjwa. Kumchukua mgonjwa video haijavunjwa sheria yoyote nyie pimbi, angetoa details za kilichomo mle kilichoandikwa na daktari hilo lingekua kosa lakini sio video maana kuna wagonjwa wako ICU uwa tunaoneshwa kwa TV na hamna tatizo. Wabongo huyo mgonjwa wenu kurushwa ndio mmeona issue??? mbona JPM alirushwa pia haikua issue??? Double standard!!! wanawaonea hao watoto tu waajiriwa wa Mange ila ukweli utabaki pale pale hamna sheria yoyote iliovunjwa hapo: na eti hio kesi muilete huku US ndio watawacheka haswaaaa kwa hilo. Kuhusu kufungia App napo utakua ujinga wa hali ya juu kuna apps za porno hazijafungiwa ije ifungiwe app ya umbea ???Really??? Tulieni dawa iiingie sasa hivi Mange ongeza moto ili washenzi,wazinzi,wauaji washike adabu zao.
 
Mipolice ya ccm ina akili kisoda kabisa,wangetaka wamkomeshe mange kwenye hicho kiapplication chake cha chooni wangeongea na makampuni ya simu yablock malipo basi hapo wangekuwa wamemkata makali
 
Ndio nashangaa hapa , watu kurefusha shingo kumsema, sasa wanatofauti gani na mange? Wanachofanya hapa kusema mala hana akili,.mala mjinga,.mala amelaaniwa si.ni same na anavofanya mange, Nyani haoni kundule, wanajifanya wasafi hapa kwenye comment kumkemea na wao wanafanya the same thing.

Shida wanajua huyo Mange atawaandika huko siku koja so wagu wanajihami App yake.ifungwe ili waendelee kua safe na ujinga wao

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nilivyoona umeandika mala badala ya mara.Nikajua kuna shida sehemu.
 
Back
Top Bottom