Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Hairuhusiwi kumpiga picha mgonjwa hata kama sio mahututi na yupo tu pale mapokezi ukapost bila ridhaa yake. Ukiona mtu kapostiwa hata wale wanaochangia damu ujue wameombwa wakaridhia. So ishu sio kupost tu ishu ni ridhaa ya mgonjwa.
I understand you mkuu, thanks kwa ufafanuzi zaidi, but lazima tukubali kuwa technology imeendelea sana, hao Muhimbili ndio wenye makosa, sababu wao walitakiwa waweke facilities za kuwezesha kuzuia hayo yasitokee , na kama yakitokea iwe rahisi kujua nani amefanya na awajibishwe, but kutegemea watu wajiongeze hio haiwezekani, mange anawalipa watu, mtu kama ananjaa anaweza mtumie post hata inayodhalilisha ili tu apate pesa. Lakini wakiweka udhibiti watu watakua wanaogopa cas wanajua kuna camera, kuna ulinzi nk. Kama mtu ameweza kurecord video ICU je mwenye nia mbaya ya kutaka kumdhuru mgonjwa atashindwa? si atammaliza na hakuna atakaejua nani kammaliza mgonjwa. Muhimbili wajitafakari sana ile ni big hospital.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ndomana serikali inamtaka aseme aliyemtumia hyo video.
 
Kwa maana hiyo afya ya mtu ndio umbea kwako? Subiri libishe hodi kwenye familia ndio utajua hujui
Ni rahisi Sana kwa mwenzio siku likimfika ndio ataelewa... Kuna kipindi mnaweza tu kuwa na mgonjwa nyumbani na sio ICU Ila sio kila mgeni atayekuja atamuona mgonjwa ,mama atajibu mgonjwa kapumzika alihangaika Sana usiku!sembuse mtu yupo ICU anapambana halafu mtu mmoja ana sema ni kawaida.. tumetofautiana sana
 
Watu wanaongea pumba sana, hawajui hata sheria kisa Mange! kwanza wangemshukuru kwa kuwaonesha uzembe wao kwamba mtu anaweza kuingia ICU na akachukua video. Hamna kosa lolote hapo la kuchukua video, ni uzembe wa mamlaka ya hospitali kutozuia kitu kama hicho kutokea. App haitafungiwa na watu watakaoidownload wataongezeka na washenzi wataanikwa.Enzi ya uturn imerudi kufichua waovu na ndio wanataabika sasa na hio app.
 
nishakunywa tayari Mkuu, wanantia hasira tu watu wa humu ndani kujifanya wameguswa kinafki kumbe shida yao App ya mange ifungwe ili wawe safe wasijepostiwa one day, App iendelee kuwepo ili iwakomeshe wapuuzi wote , waongo waongo, wazinzi, wanaocheat, wanaotesa wenzao, wanaokula rushwa, wanaoiba , wanaotapeli, wanaoiza madawa, wanaofanya ujinga wote.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
ha haaa haaa.. haya bwana
 
imagine , watu wanaongea ongea tu hapa kama hawajielewi, hao watu wamekua recruited very openly, nafasi.zilitangazwa watu wakaapply, pia sio kosa kufanya na mange kazi, job is a job , kama kuna mahali wamevunja sheria wapelekwe mahakamani. Eti "aibu kufanya kazi na mange au kujitambulisha wafanya kazi mangekimambi App" hii sentensi only stupid person can say it.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
hivi kweli unaweza kuita kazi ya Mange, kazi? kuchukua madhaifu ya wengine na kuyaanika bila hata kuchuja hadharani, watu wanaumizwa sana na mange, wanachafuliwa majina hadi biashara hadi sehemu zao za kupatia riziki zinaharibiwa, na kumbe alikuwa na ofisi hapahapa bongo? mimi nilitegemea wafanyakazi wake wawe wamekamatwa muda mrefu sana.
 
Majibu ya vipimo pia infornation za mgonjwa ndio kosa kuzitoa hilo linajulikana sababu ipo.katika category ya confidenciality, pia kumpiga picha mgonjwa au mtu yoyote akiwa mtupu bila kufunikwa ama kua na.nguo yoyoye pia ni kosa sababu hiyo ipo kwenye category ya privacy, but that video haikua na hivyo vyote, na thats why video kama hizo hizo alozopost mange hupostiwa hata na watu mitandaoni ama vyombo vikubwa vya habari bila shida tena zingine ni even worse. Sasa hapa watu wanatype ujinga tu kujidai wameumia na kulaani as if hawajawahi ona ngonjwa akiwa ICU

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Hao wengine wanaopost kama wanapost watu ambao si mashuhuri na ambao hawana support ya kuwatetea basi hiyo ni such a pity kwao. Ila ni kosa kisheria kumrekodi video mgonjwa mahututi na kumsambaza mtandaoni bila ridhaa yake, kumbuka kuna ambao hurekodiwa kwa ridhaa yao na kusambazwa kwa minajili ya kuchangiwa misaada, kama afanyavyo MC pilipili, muhusika anakuwa ameridhia. Ila hii ya kumrekodi kwa siri bila ridhaa na kumsambaza kwa manufaa binafsi ya kifedha huku mgonjwa akiondolewa faragja na kudhalilishwa ni unyama na kukosa utu!
 
Ndomana serikali inamtaka aseme aliyemtumia hyo video.
Hiyo hata ningekua mimi siwezi sema, wao wajipange upya, lisije jirudia, awaambie kwa nini, uzembe wao ndio umefanya wasijue nani alirecord. Waache uvivu wafanye mambo kisasa sio kutegemea matukio yatokee watafte mtu wa kuwaelezea, No.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom