Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
I understand you mkuu, thanks kwa ufafanuzi zaidi, but lazima tukubali kuwa technology imeendelea sana, hao Muhimbili ndio wenye makosa, sababu wao walitakiwa waweke facilities za kuwezesha kuzuia hayo yasitokee , na kama yakitokea iwe rahisi kujua nani amefanya na awajibishwe, but kutegemea watu wajiongeze hio haiwezekani, mange anawalipa watu, mtu kama ananjaa anaweza mtumie post hata inayodhalilisha ili tu apate pesa. Lakini wakiweka udhibiti watu watakua wanaogopa cas wanajua kuna camera, kuna ulinzi nk. Kama mtu ameweza kurecord video ICU je mwenye nia mbaya ya kutaka kumdhuru mgonjwa atashindwa? si atammaliza na hakuna atakaejua nani kammaliza mgonjwa. Muhimbili wajitafakari sana ile ni big hospital.Hairuhusiwi kumpiga picha mgonjwa hata kama sio mahututi na yupo tu pale mapokezi ukapost bila ridhaa yake. Ukiona mtu kapostiwa hata wale wanaochangia damu ujue wameombwa wakaridhia. So ishu sio kupost tu ishu ni ridhaa ya mgonjwa.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app