- Thread starter
- #41
Watake radhi wanawake. Ukweli ni kuwa tumekuwa "wajinga" kupitiliza.Tumekuwa na mambo ya kikekije tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watake radhi wanawake. Ukweli ni kuwa tumekuwa "wajinga" kupitiliza.Tumekuwa na mambo ya kikekije tu
Sio kuwataarifu polisi kwa vile walikuwa wakishuhudia tukio walipaswa kuwataarifu wenzao watoke nje na kupambana nao polisi wakija wanakuta shughuli imeisha wanaokota mizoga tuuMtaa mzima walikuwa hawana vocha kuwataarifu polisi??
Welldone mkuu,humu mna kenge zenye upumbavu wa juu, Mh.Mbowe ametengeneza fedha yake kihalali na hakufanya ufisadi wowote, ujinga yes watanzania wengi ni mazuzu na ushahidi tunao humu, watu wananyanyaswa kazini mwao wanakimbilia humu Kulalama na hizi ID fake instead to push backUna ujinga mwingi zaidi ya hao Bavicha.
1. Aliyekwambia Mbowe alipatia utajiri wake kwenye siasa atakuwa mjinga mwenzio, alikudanganya, yule ni mfanyabiashara zamani.
2. Halafu Mbowe alisema watanzania, hakusema Bavicha, huu ni ujinga wako wa pili.
3. Mbowe ameshasema 2023 ataachia nafasi yake, wewe unamuita mwenyekiti wa kudumu.
4. Mtu kuitwa mjinga sio kudharauliwa, ni kuambiwa your state of mind basing on a specific issue, kwamba uko empty kwenye jambo husika, ni sawa na kuamshwa usingizini, na anayekuamsha hakudharau, anakujali usizidi kupotea.
Labda kama siku hizi wanapokeaKuna namba hii ya polisi 111 na 112 ya polisi, kwanini hawakutumia???
AFYA YA AKILI NI MUHIMU KWA KWELIBAVICHA ni viumbe vya ajabu ulimwenguni na eti ndio ni nguvu inayotegemewa na CHADEMA kushika dola. Ama kweli Mbowe akiwa pekee yake chumbani uwa anafurahi Sana kuweza kuwapumbaza vijana wasomi wa CHADEMA akiwa ni DJ tu bila hata degree.
Leo vijana wa CHADEMA wametukanwa na Mwenyekiti wa kudumu kwamba ni wajinga wanakenua meno wakati Mbowe utajiri wake kaupata kwenye siasa na hapo hapo anawadharau wasio na magari ya mamilion.
Ndio maana uwa nasema siku zote kuwa kijana wa CHADEMA ni Jambo la aibu na mtu wa hivyo anatakiwa kupimwa akili
Mimi nalamba asali iliyochanganywa na sukari guruSisi hao? Wewe uko upande gani mkuu? Au wewe ni mlamba asali?
Umesema kweli Sana, nchi imejaa viongozi wapumbavu Sana!Taifa linapokuwa na Umaskini wa kipumbavu unaosababishwa na viongozi wapumbavu pumbavu matokeo yake Panya Road huzalishwa,hawa ni vijana waliokata Tamaa ya maisha,wanashinda njaa,na wakiugua wanakufa kwa kukosa Pesa za matibabu.
Roho zao zimejaa visasi,ghadhabu na unyama.
Baadhi yao walifaulu vizuri kabisa lakini kwa sababu ya Serikali pumbavu walikaa nyumbani kwa kukosa Ada.
Sasa ndo matokeo ya kuwa na Taifa lililojaa ma jobless,mimi nasema nawapenda sana Panya Road.
Naomba wazagae nchi nzima at the end wayatoe baru ma CCM nyambaf [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nyinyi wote ni wapumbavuuu[emoji1787][emoji1787] kabisa kwanini msipige simu polisi na kuwaambia mbowe ana andamana ndani ya dakika 8 tu mgeona polisi wa kila rangi waarabu ,warefu wafupi , wenye nguo za kijani nk .....inaelekea hapo mtaani kweni hakuna mtu mwenye kipaji cha usanihi kama cha yule dada aliye piga simu fire [emoji91]maana kwa mara ya kwanza fire [emoji91] kupigiwa simu na kwenda na maji ya kutosha kwenye eneo la tukio ....ndiyo maana walikasirika sana na kumtafuta huyo dada usiku na mchana ,wakati matapeli wanao tu tapeli kwa tuma kwa namba hii awatafutwi hadi kupatikana.mm kwa ujinias8 wangu nikagundua huyo mdada ni jiniasi sema watu wameshindwa kuelewa.Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta.
Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake.
Tutaamka lini sisi kutambua umoja ni nguvu wenye kuweza kutuokoa na yote?
Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kushindwa kuijua nguvu hii yenye uwezo wa kutuhakikishia haki zetu zinaheshimiwa na wote wanaojaribu kutupora.
"Mwenyekiti wa mtaa huo, Hashimu Gulana amesikitishwa na tukio hilo huku akiwalaumu wananchi wa mtaa huo kushindwa kupigiana simu kuwadhibiti vijana hao waliodumu kwenye eneo hilo kwa saa mbili wakitekeleza vitendo hivyo."
"Baada ya tukio, Polisi walikuja, lakini naomba wananchi waendelee kutoa ushirikiano kwa sababu hata tukio linatokea walikuwa wanachungulia madirishani badala wapigiane simu kuwadhibiti vijana hao," amesema.
Yale yale ya kumtaka mwingine kutupigania. Tutanyanyaswa hadi lini hata na vi-dogo vya miaka 12?
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
2hrs umekaa kimya. Naumia unakuja kusema pole? Police wetu ni mzigoPolisi walifika eneo la tukio baada ya panyaroad kukamilisha zoezi na kuondoka salama eneo la tukio.. Kisha wakaanza kuwahoji wananchi kilichotokea na wananchi waliojawa na nyuso za hofu huku wengine wakiwa bado wanatetema sana wakaanza kuwaelezea polisi jinsi ilivyokuwa
Kishapo polisi wakawahakikishia usalama wao na kuapa watawatafuta mmojammoja mpaka wapatikane wote kisha wachululiwe hatua kali sana za kisheria ili iwe funzo kwa wengine
Kamanda wa kanda maalum pia alipata fursa ya kuwapa wananchi pole na kuwahakikishia kuwa jeshi liko bega kwa bega nao na watakapoona kuna dalili zozote za kuzorota usalama basi wasisite kutoa taarifa haraka kwa jeshi la polisi
Out of topicBAVICHA ni viumbe vya ajabu ulimwenguni na eti ndio ni nguvu inayotegemewa na CHADEMA kushika dola. Ama kweli Mbowe akiwa pekee yake chumbani uwa anafurahi Sana kuweza kuwapumbaza vijana wasomi wa CHADEMA akiwa ni DJ tu bila hata degree.
Leo vijana wa CHADEMA wametukanwa na Mwenyekiti wa kudumu kwamba ni wajinga wanakenua meno wakati Mbowe utajiri wake kaupata kwenye siasa na hapo hapo anawadharau wasio na magari ya mamilion.
Ndio maana uwa nasema siku zote kuwa kijana wa CHADEMA ni Jambo la aibu na mtu wa hivyo anatakiwa kupimwa akili
Mbona huyo mwenyekiti hawalaumu polisi kwa kuchelewa kufikaWakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta.