Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta.

Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake.

Tutaamka lini sisi kutambua umoja ni nguvu wenye kuweza kutuokoa na yote?

Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kushindwa kuijua nguvu hii yenye uwezo wa kutuhakikishia haki zetu zinaheshimiwa na wote wanaojaribu kutupora.

"Mwenyekiti wa mtaa huo, Hashimu Gulana amesikitishwa na tukio hilo huku akiwalaumu wananchi wa mtaa huo kushindwa kupigiana simu kuwadhibiti vijana hao waliodumu kwenye eneo hilo kwa saa mbili wakitekeleza vitendo hivyo."

"Baada ya tukio, Polisi walikuja, lakini naomba wananchi waendelee kutoa ushirikiano kwa sababu hata tukio linatokea walikuwa wanachungulia madirishani badala wapigiane simu kuwadhibiti vijana hao," amesema.

Yale yale ya kumtaka mwingine kutupigania. Tutanyanyaswa hadi lini hata na vi-dogo vya miaka 12?

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
Hizo simu si mpaka muwe na namba za majirani zako,nina shauri kuwa kila mtaa kuwe na listi ya namba za simu za majirani wote ambazo kila mtu atakuwa na nakala yake,ili kunapotokea tatizo waweze kupeana taarifa...
 
2hrs umekaa kimya. Naumia unakuja kusema pole? Police wetu ni mzigo
Walipigiwa simu on time? Hatujui hilo maana hata kuwasiliana raia tu na kutoa upinzani hata wa kelele ilishindikana.
 
Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta.

Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake.

Tutaamka lini sisi kutambua umoja ni nguvu wenye kuweza kutuokoa na yote?

Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kushindwa kuijua nguvu hii yenye uwezo wa kutuhakikishia haki zetu zinaheshimiwa na wote wanaojaribu kutupora.

"Mwenyekiti wa mtaa huo, Hashimu Gulana amesikitishwa na tukio hilo huku akiwalaumu wananchi wa mtaa huo kushindwa kupigiana simu kuwadhibiti vijana hao waliodumu kwenye eneo hilo kwa saa mbili wakitekeleza vitendo hivyo."

"Baada ya tukio, Polisi walikuja, lakini naomba wananchi waendelee kutoa ushirikiano kwa sababu hata tukio linatokea walikuwa wanachungulia madirishani badala wapigiane simu kuwadhibiti vijana hao," amesema.

Yale yale ya kumtaka mwingine kutupigania. Tutanyanyaswa hadi lini hata na vi-dogo vya miaka 12?

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
Hawa panya wa barabarani kwanini hawaishi?Kweli serikali jeshi imeshindwa kabisa?Kuna uzembe mahala.
 
Wanaume wa Dar [emoji23][emoji23] once again wanazid kutuangusha wanaume wa mikoani
 
Hawa panya wa barabarani kwanini hawaishi?Kweli serikali jeshi imeshindwa kabisa?Kuna uzembe mahala.
Dawa kibaka mwizi jmbz
Akingia 18 zako ni kama
Hivi

Ova
 
BAVICHA ni viumbe vya ajabu ulimwenguni na eti ndio ni nguvu inayotegemewa na CHADEMA kushika dola. Ama kweli Mbowe akiwa pekee yake chumbani uwa anafurahi Sana kuweza kuwapumbaza vijana wasomi wa CHADEMA akiwa ni DJ tu bila hata degree.

Leo vijana wa CHADEMA wametukanwa na Mwenyekiti wa kudumu kwamba ni wajinga wanakenua meno wakati Mbowe utajiri wake kaupata kwenye siasa na hapo hapo anawadharau wasio na magari ya mamilion.

Ndio maana uwa nasema siku zote kuwa kijana wa CHADEMA ni Jambo la aibu na mtu wa hivyo anatakiwa kupimwa akili

Ona Hii ng’ombe watu wanaongelea mambo ya panya road anaingiza chadema
 
IMG_20220914_180443_804.jpg
 
Back
Top Bottom