Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

Mtaa mzima walikuwa hawana vocha kuwataarifu polisi??
Sio kuwataarifu polisi kwa vile walikuwa wakishuhudia tukio walipaswa kuwataarifu wenzao watoke nje na kupambana nao polisi wakija wanakuta shughuli imeisha wanaokota mizoga tuu
I
 
Hivi vikundi vilikuwa vingi karibu kila mahali enzi za JK (sio kwa ubaya lakini) hao panya road, watoto wa mbwa, jamaica mockers, nk
baadae hapo katikati vikapotea sasa vinarudi tena. Kuna haja ya kutafakari sababu/chanzo ni nini?
 
Wananchi walikua wanachungulia madirishani, na polisi walifika baada ya panyaroad kukamilisha zoezi la uhalifu na kuondoka kwa amani
 
Welldone mkuu,humu mna kenge zenye upumbavu wa juu, Mh.Mbowe ametengeneza fedha yake kihalali na hakufanya ufisadi wowote, ujinga yes watanzania wengi ni mazuzu na ushahidi tunao humu, watu wananyanyaswa kazini mwao wanakimbilia humu Kulalama na hizi ID fake instead to push back
 
Kuna namba hii ya polisi 111 na 112 ya polisi, kwanini hawakutumia???
 
AFYA YA AKILI NI MUHIMU KWA KWELI
 
WALE PANYA ROAD WALIO KAMATWA MAY 2022, MPAKA SASA NI HATUA GANI ZIMECHUKULIWA JUU YAO?

PANYAROAD NI KIELELEZO CHA ===DHAIFU
 
Umesema kweli Sana, nchi imejaa viongozi wapumbavu Sana!
 
Nyinyi wote ni wapumbavuuu[emoji1787][emoji1787] kabisa kwanini msipige simu polisi na kuwaambia mbowe ana andamana ndani ya dakika 8 tu mgeona polisi wa kila rangi waarabu ,warefu wafupi , wenye nguo za kijani nk .....inaelekea hapo mtaani kweni hakuna mtu mwenye kipaji cha usanihi kama cha yule dada aliye piga simu fire [emoji91]maana kwa mara ya kwanza fire [emoji91] kupigiwa simu na kwenda na maji ya kutosha kwenye eneo la tukio ....ndiyo maana walikasirika sana na kumtafuta huyo dada usiku na mchana ,wakati matapeli wanao tu tapeli kwa tuma kwa namba hii awatafutwi hadi kupatikana.mm kwa ujinias8 wangu nikagundua huyo mdada ni jiniasi sema watu wameshindwa kuelewa.
View attachment 2349498
 
Dah Hawa madogo wamerudi tena kumbe......
 
2hrs umekaa kimya. Naumia unakuja kusema pole? Police wetu ni mzigo
 
Safi sana na mtanyooka mwaka huu
Hasa kina mama mkishapewa vile vitenge shati na kofia akili zinawaruka
 
Out of topic
 
Mbona huyo mwenyekiti hawalaumu polisi kwa kuchelewa kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…