Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Mbonq sijaona wakitajwq askari polisi humo ndani.

Ama geshi linaogopa kujichafua.

Ila ni wizi wa kipumbafu kama sio RPC kutengeneza movie aonekane naye anafanya kazi.
 
Hili ni tukio nalifananisha na la mwaka 2019 mwanzoni,Mlinzi alihepa na kiasi kama hicho.Akaishia kununua nyumba,viwanja na magari.Wakamkuta anakula bata na kiasi kilichobakia.
Ukiangalia hawa wa 2020 wanenunua Power tiller (min tractor) walikuwa wanajiandaa kuwekeza kwenye kilimo.(means they lacked startup capital tuu.)
 
JAMIIURI,. JESII, ni nini?
GOING FORWARD, iwe sharti kampuni za ulinzi zinazosafirisha pesa ziwe na BIMA na askari wao wakipiga basi Polisi isihangaike nao (waachwe wawe wawekezaji); polisi ishughulike na kampuni ya ulinzi walipe pesa ambazo hawakufukisha walikotumwa kupeleka
 
Aisee hizi kampuni za ulinzi now zinapoteza Credibility kabisa
If you pay peanuts, you get a lot of monkeys. Kabla hawajawakabidhi kubeba na kulinda hizo hela zote, waulize wanawalipa shilling ngapi hao wafanyakazi wao. Ukitaka kujua wanalipwa je, angalia vitu walivyoenda kununua.
 
unaiba 2b dar, then unakwenda Mbeya kulima mpunga - pambaf sana hawa - funga miaka 20 wapate adabu.
 
Hapo hata polisi walipokuta masanduku matatu lazma ilo sanduku moja lililopelea wamejineemesha kwanza chaaap mengine yakiendelea. Hap jamaa itakuwa walikimbia na sanduku moja tu lililojaa wakaacha matatu yakiwa yamejaaa. Laiti ningeliwaona wakikimbia na mimi nichukue yaliyosalia yote hahaahahha
 
,🤣😂🤣🤣🤣Aisee hao wezi bila shaka walikimbia umande, hata movie hawaangaliagi eeh, teh teh teh au wangesoma ile story ya db Cooper.

Siungi mkono wizi ila hao jamaa ni wajinga ultra+pro max.

🤔🤔🤨Wait 8/6/2020 how?, Au time travel ni kweli🤨🤨.
 
polisi wetu nao hawako modern sana ndio mana jamaa walifanikiwa kufika mbali sema hayo ma shilingi nayo yamewaangusha siku hizi mchakato wa kuyabadili umekua mgumu so ukienda nayo nje ya nchi hamna mtu anayataka ingekua enzi za beura de change wangezibadili ziwe dola then unaingia zako Zambia hapo au Zimbabwe maisha yanaendelea huku ukisubili mtiti upoe
Na hii ndo shida kubwa, tsh zimewaangusha na lack of exposure
 
Back
Top Bottom