Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Mbona hii habari Kama ya zamani?

Au ili Ni tukio jingine?
Hili ni nyingine. Limesainiwa leo 6th July 2020. Inaekekea hiyo bank inapigwa sana matukio. Kuna mahali hapako sawa.
 
Mie nazani wenye kampuni hizi za ulinzi pamoja na mabenk yakae pamoja yaangalie upya kiwango cha mishahara na malipo wanayowalipa hawa wabeba fedha! Binadamu hawezi kuwa mjinga muda wote na siku zote! Utakuta kuna makampuni yanalipa watumishi wake 250K na mshahara wenyewe hadi uje utoke ni tarehe 10 ya mwezi mwingine, alafu wakati nyumbani una hali ngumu kisawasawa unapewa pesa njenje ubebe upeleke, ukaziache bila kulipwa chochote ni hapa ndipo hawa ndugu wanageuka chuwi aliyetumwa kumvusha mbuzi mto! Hili ni tukio la pili ndani ya miezi 6, la kwanza lilitokea benk ya NBC tena lenye sura kama hiyohiyo! So nashauri ufanyike utafiti wa kitaalamu ili kupata solution ya kudumu, lakini tukiendelea kupambana na tatizo hili kwa kutumia nguvu ya jeshi la polis tunaweza tusipate ufumbuzi wa kudumu! Mfano mtu anaweza kujidanganya kwamba kutatua tatua tatizo hili ni kuweka magari ya polisi kusindikiza magari ya pesa, lakini ukweli huu unaweza usiwe utatuzi maana hata polisi wanawezaingizwa kwenye plana na pesa zikaibwa vilevile!
 
Hao watu wanaopewa jukumu la kusafirisha billion 2 kutoka point A kwenda Point B wanalipwa mshahara bei gani?

Tuanzie hapo kwanza.
Hiyo ndio kazi yao haina maana wakimbie na pesa za watu hata kama wangekua wanalipwa elfu hamsini
 
tatizo la pesa ya bongo ukiiba nyingi hata namna ya kuificha ni kipindi maalum.

hizo zenyewe walizoiba sipati picha wametoka jasho kiasi gani kuzificha[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mbona hii habari Kama ya zamani?

Au ili Ni tukio jingine?
Hiyo ni ripoti kamili baada ya ile ya awali
Hao wezi ni wapuuzi,huwezi kuiba bilioni mbili cash bila kudakwa kabla hujazimaliza
Ni pesa nyingi mno,wameishia kununua pikipiki na tv,inaonekana walikua wanavitamani sana
 
Aaaah, wakanunua godoro,tv flat, jaba lamaji na pawatila ya kianzia maisha. Hapo bado bodaboda kadhaa zimletee hesabu. Daaah majambazi hawa.
 
Walikuwa na kitete tu muwasamee bure unajua kama hujawahi kushika hela ndefu kama hiyo lazima akili ichachawe si unaona badala ya kufanya au kusepa wanabaki kununua vitu ambavyo hawana mpango navyo!
 
Benki ilibidi waanzishe kitengo flani hivi special. Ila ili wazo linathamani kubwa siwezi kuwafaidisha kiboya. Waacheni wapigwe tu matukio.
 
Duh vilaza hao wafungwe maisha na adhabu kali.
ukute vitu walivyonunua walinunua kwa majina yao[emoji23][emoji23].taarifa zao za manunuzi zikaingia kwenye system.
Kuchachawa kumewaponza hawa nyumbu.
Simu baba,
Hii midude siyo mizuri inaacha alama (traces) kila mahali.
Ukitupa handset na SIM Card wao wanaangalia ndugu na rafiki zako tu.
Wanasikiliza simu zao na kusoma jumbe zao zote.

Ukifanya tukio hama nchi badili ndugu na marafiki.
Usiwasiliane tena na mtu yeyote uliyewahi kuwasiliana nae na simu yako ya zamani. Usitumie email yako ya zamani n.k.
Usitumie computer yako au modem zako za zamani.

Usiende kijijini kwako au kwa mkeo, badili hadi mwanamke au mume kulingana na jinsia yako.
 
Hawa jamaa ndo " wanaume " in Magufuli voice
 
Hawa wezi wasipewe adhabu kali kwa kuwa wameiba bali wapewe adhabu kali kwa kuiba kwa uzembe! Wapigwe kipigo cha mbwa koko
hawa walinzi ni watu wenye elimu ya chini so huwa hawana plan yeyote ndio mana huwa wanakamatwa kama kuku then hawana exposure kwa dunia ya sasa ukipiga tukio kama hilo hutakiwi kushika simu mwaka mzima mambo yako fanya manual hudakwi unaweza kubaki hapa hapa labda mwabepande kule unakula zako serengeti lite taratiiibu alafu gari nunua haya ma plado au Benz polisi wanatabia ya kuyaogopa so unakula zako nchi taratiibu
 
(i).Trckta Power Tiller aina ya TRA-Change Model 7C/15 lenye thamani ya Tsh 20,000,000/=

(ii),Pikipiki moja aina ya SANLG

(iii).TV flat screen moja aina SUNDA na vitu mbalimbali vya matumizi ya ndani kama kitanda, godoro,jiko la gesi,rnakochi n.k

Wametimiza ndoto yao
 
Ukiishi kama zamani usasa hauwezi kukupata OSAMA BINLADEN,lkn pia kua na elimu ndogo sio sababu maana wasingeweza hata kutokomea na huo mzigo isipokua mipango baada ya kupiga haikua madhubuti
 
hawa walinzi ni watu wenye elimu ya chini so huwa hawana plan yeyote ndio mana huwa wanakamatwa kama kuku then hawana exposure kwa dunia ya sasa ukipiga tukio kama hilo hutakiwi kushika simu mwaka mzima mambo yako fanya manual hudakwi unaweza kubaki hapa hapa labda mwabepande kule unakula zako serengeti lite taratiiibu alafu gari nunua haya ma plado au Benz polisi wanatabia ya kuyaogopa so unakula zako nchi taratiibu
Dawa ni kuvuka boda kwa hela nyingi kama hiyo
 
Back
Top Bottom