Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

Aisee hizi kampuni za ulinzi now zinapoteza Credibility kabisa
Sasa mtu analipwa mshahara wa 150,000 kwa mwezi unataka wafanye nini.

Kampuni za ulinzi zinapata mabilioni ya pesa kwa mikataba ya ulinzi ila wanalipa mishahara midogo mno. Hayo ndio matokeo. Simaanishi mtu ukilipwa mamilion Huwez kuiba ila unakuwa umepunguza risk kubwa ya kuibiwa
 
Hao watu wanaopewa jukumu la kusafirisha billion 2 kutoka point A kwenda Point B wanalipwa mshahara bei gani?

Tuanzie hapo kwanza.
Ulitaka walipwe kiasi gani kusafirisha hela za watu? Hizo kampuni tatizo liko kwenye vetting Ni vizuri kampuni kama hizo kuwa family business waajiriane ndugu wanaofahamiana itasaidia kuliko kuajiri watu wasioeleweka
 
Ulitaka walipwe kiasi gani kusafirisha hela za watu? Hizo kampuni tatizo liko kwenye vetting Ni vizuri kampuni kama hizo kuwa family business waajiriane ndugu wanaofahamiana
Mataga hujajibu swali.
 
Duh vilaza hao wafungwe maisha na adhabu kali.
ukute vitu walivyonunua walinunua kwa majina yao[emoji23][emoji23].taarifa zao za manunuzi zikaingia kwenye system.
Kuchachawa kumewaponza hawa nyumbu.
 
Duh vilaza hao wafungwe maisha na adhabu kali.
ukute vitu walivyonunua walinunua kwa majina yao[emoji23][emoji23].taarifa zao za manunuzi zikaingia kwenye system.
Kuchachawa kumewaponza hawa nyumbu.
Wamenunua tractor la 20mil kwenye risiti efd kaweka jina lake na namba ya simu.
Yani hata wapelelezi watakasirika sana . bora kasusura
 
Hapo tu kwenye tractor power tiller Tzs 20,000,000/= kweli!!!?
Nimeshangaa sana power tiler na tractor, siku hizi powertiller mil20??

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Mbwa kabisa hawa. Tanzania haina wezi ina matahira wa kiwango cha lami..

Wangepata master mind kama mimi wao ndio wangekamatwa mimi muda huu ningekuwa kisiwa cha mauritius nafanya yangu..
Walinzi wa Makampuni ya Ulinzi wana njaa sana maana mishahara wanayolipwa hailingani na majukumu wanayopewa kama hayo ya kusafirisha fedha Pia wengine hawana weledi na maadili ya kazi ndiyo maana wanafanya vituko hivyo. Lakini pia kwani wasipewe Polisi kazi ya kusafirisha fedha kama hizo. Kama Polisi wanalinada Benki, kwani wasipewe jukumu la kusafirisha fedha! Kuna uzembe pia wa menejimenti ya Benki
 
Back
Top Bottom