Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Bado sijaelewa hadi sasa, Ina maana kila anachofanya samia atakua analinganishwa na maguful? Tunaamini Magufuli alikosea kufanya hayo, kwa hiyo nae Sasa Samia anaapaswa kukosea tena kufanya hayohayo?Miaka 6 nyuma jiwe alikua anazindua hadi tawi la bank crdb