Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Jakaya hamna kitu yule.sema kwa vilaza wanaamini ana kitu. Mtupu sanaMikutano kama hii imkute Jakaya kikwete mwanadiplomasia ambaye anajua kucheza na akili za watu yaani hata Jambo liwe gumu kiasi gani atarifanya kuwa rahis
Ngoja tuone impact ya mkutano huuRais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Pia soma:
- Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe
- Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
- Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu
Hayupo serious..... wangewaacha DRC wapigike..Kama anahofia Usalama wake sawa.
Lakini Hoja iliyopo inabaki kuwa: Je, ana Mpango gani hasa ulio madhubuti ili kuweza kukomesha kabisa huo Mgogoro uliopo huko nchini mwake DRC?
Rais Samia akishiriki au marais/wakuu wa nchi wa Jumuiya za SADC na EAC?Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Pia soma:
- Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe
- Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
- Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu
Kwahio bwana Jk kafit kwenye vipengele vyote hapoDiplomasia inataka watu matapeli, waongo waongo na wanafiki.
Ili mradi liende haha
Kitendo cha hao maraisi wawili ambao ndio wanaopambana hasa na m23 yaani 1. Rais wa DRC. 2. Rais wa S.A. Ni ishara kwamba vita hii haitapatiwa ufumbuzi hivi karibuni. Lakini pia historia ya kudunguliwa ndege iliyokuwa imewabeba maraisi wa Rwanda na Burundi. Kagame hajambo. Museveni nimemwona, aiseee! Amezeeka. Raisi Samia hongera kwa kufanya juhudi za upatanishi, ukimaliza hilo basi kaa na CHADEMA muyajenge. Maana inasemekana kuwa "no reforms no ellections" Ukijua kuwapatanisha majirani. Jua pia namna ya kutatua changamoto za nyumba yako.Hawa marais wa Africa hawapo serious.
Marais waliopo
Tanzania
Zambia
Kenya
Somalia
Rwanda
Uganda
Zimbabwe
DRC online
South Africa online/muwakilishi
Burundi muwakilishi
Angola muwakilishi
hii ngoma bado mbichiHawa marais wa Africa hawapo serious.
Marais waliopo
Tanzania
Zambia
Kenya
Somalia
Rwanda
Uganda
Zimbabwe
DRC online
South Africa online/muwakilishi
Burundi muwakilishi
Angola muwakilishi
Kwa Hali hii, naona hao Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huu kwa chini chini watawahamasisha Waasi wa M23 kuendelea mbele zaidi na Mipango yao.Hayupo serious..... wangewaacha DRC wapigike..
hakuna warrant ya kumkamata na diplomasia haisapoti kukamatwaMwamba yupo bongo macho makavuuuuu!!!!!!
Anawacheza shere tuu kwa wale wanaomjua kagame kama mimi tujeni kuwahurumia Hawa wansodhani Kuna chembe ya ubinadamu kwa roho ya Kagame
kwa hiyo waachwe wabondane wenyewe huko?Acheni kuwahangaisha wanajeshi wetu....warudi nyumbani waendelee kula maisha.
Sio DRC wala Burundi wanaohitaji suluhisho la hii vita.
Kupanga ni kuchagua. Huwezi shindana na Banyamulenge. Kama MONUSCO walinyoosha mikono hao wafanya maonyesho ya kuvunja matofali kila tarehe 09/12 hapo Lupaso watamuweza KP na Banyamulenge?Mwamba yupo bongo macho makavuuuuu!!!!!!
Anawacheza shere tuu kwa wale wanaomjua kagame kama mimi tujeni kuwahurumia Hawa wansodhani Kuna chembe ya ubinadamu kwa roho ya Kagame
Waachwe wabondane mpaka pale akili itakapowarudi.kwa hiyo waachwe wabondane wenyewe huko?
Walipigwa hao m23 na Jwtz na watapigwa tenaKupanga ni kuchagua. Huwezi shindana na Banyamulenge. Kama MONUSCO walinyoosha mikono hao wafanya maonyesho ya kuvunja matofali kila tarehe 09/12 hapo Lupaso watamuweza KP na Banyamulenge?
Kwa hiyo ambao huja wa mention hawajui freestyle?Nadhani Leo ndo tutajua kama Rais Samia anajua kingereza ch free style bila Kusoma ,kama alivyokuwa nyerere na Mkapa. Mana kingereza chake ni Cha kusoma