Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

Kama hawatasema Kagame na M23 waondoke Goma basi hakuna Maazimio hapo

Ila walichofanya M23 na Kagame ni mtego mkubwa sana
Hiyo vita ni ngumu kuisha kwa uzoefu mdogo nilionao mimi.

Sitaki kuwakatisha watu tamaa ila hata amani ikipatikana itakuwa ya muda tu.
 
... now I see the reason I didn't know, THANK YOU MKUU!
First, you bring DRC into EAC promising them peace and stability. Then, you send EAC-Regional Force to Eastern Congo in exchange for mineral concessions. The force screws up, and gets butted out, then trouble resumes, and comrades starts to fight each other.

DRC Minerals corrupts the hearts of men just like the Ring of Sauron 😁​
 
First, you bring DRC into EAC promising them peace and stability. Then, you send EAC-Regional Force in exchange for mineral concessions. The force screws up, and gets kicked out, then trouble resumes.

DRC Minerals corrupts the hearts of men just like the Ring of Sauron 😁​
... I think Goma is gone If not all of Congo!
 
Hiyo vita ni ngumu kuisha kwa uzoefu mdogo nilionao mimi.

Sitaki kuwakatisha watu tamaa ila hata amani ikipatikana itakuwa ya muda tu.
Na wanachofanya M23 ni kujihalalisha Kwa raia na jumuia za kimataifa, hapo lengo la kuikalia Goma limetimia ,kumbuka madai Yao hapo ni kwao watambulike
 
Hii ngoma ngumu kupata solution maana Kedi anataka M23 waondoke DRC wakati PK anadai M23 sio wanyarwanda ni wakongo.
 
... I think Goma is gone If not all of Congo!
Balkanization of Congo will be suicidal and a Security blunder like the Balkanization of Sudan, Ethiopia and Somalia. This appeasement will only embolden Tutsi extremism and separatism, unleashing a chain of dominoes throughout the region, if not an entire continent.

The redrawing of colonial boundaries will tear down the entire security architecture of Africa. It's a frightening prospect to any serious thinker.

Either way, all African warlords always end up in the same scrapyard. Before Kagame, there was Jonas Savimbi, who built a deadliest force in the continent out of looting his country's minerals. He was a darling to the West, particularly the CIA, until when they divorced.​
 
Balkanization of Congo will be suicidal and a Security blunder like the Balkanization of Sudan, Ethiopia and Somalia. This appeasement will only embolden Tutsi extremism and separatism, unleashing a chain of dominoes throughout the region, if not an entire continent.

Either way, all African warlords always end up in the same scrapyard. Before Kagame, there was Jonas Savimbi, who built a deadliest force in the continent out of looting his country's minerals. He was a darling to the West, particularly the CIA, until when they divorced.​
... thank you for sharing your treasure of History and your very accurate analysis!
Lust for wealth and power corrupts and finally destroys mercilessly!
 
Katika vitu vigumu ni diplomacia
Yaan Tatizo unalijua ila huwezi kutangaza au kumwambia moja kwa moja.
Hata kama dunia nzima na ushaidi upo.

mnaojua kama wamemueleza jama ukweli niambienj
 
Attachments

  • 5F34C50E-07E9-4E42-9795-C5C6C31327E2.jpeg
    5F34C50E-07E9-4E42-9795-C5C6C31327E2.jpeg
    86.8 KB · Views: 2
Mbona kwenye picha simwoni Tshekedi?. Sidhani kama kweli Marais wa DRC na Rwanda wanaweza kukubaliana na kushikana mikono ya upendo.
 
Back
Top Bottom