GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
RUTO KAANZA NA MAAZIMIO YAKE YA MFUKONI!
🤣
KWamba ruto nae tall kama kagame au picture tu....
Kama hawatasema Kagame na M23 waondoke Goma basi hakuna Maazimio hapoNgoja tusubirie maazimio ya kikao.
... now I see the reason I didn't know before, THANK YOU MKUU!The deranged Kalenjin, is in possession of two lucrative businesses in Kivu. Business is booming and he seems to be hooked just like M7 and Mr Slim.
Hiyo vita ni ngumu kuisha kwa uzoefu mdogo nilionao mimi.Kama hawatasema Kagame na M23 waondoke Goma basi hakuna Maazimio hapo
Ila walichofanya M23 na Kagame ni mtego mkubwa sana
... now I see the reason I didn't know, THANK YOU MKUU!
... I think Goma is gone If not all of Congo!First, you bring DRC into EAC promising them peace and stability. Then, you send EAC-Regional Force in exchange for mineral concessions. The force screws up, and gets kicked out, then trouble resumes.
DRC Minerals corrupts the hearts of men just like the Ring of Sauron 😁
Katuni inasema mkutano utakuwa ni genge la mabishano kati ya PK na akina kedi na mwenzake rama. ao wengine hawana habari ya kinachoendelea?😇MKuu huyo mwenye kipara na shati la kijani ni naniView attachment 3229058
Na wanachofanya M23 ni kujihalalisha Kwa raia na jumuia za kimataifa, hapo lengo la kuikalia Goma limetimia ,kumbuka madai Yao hapo ni kwao watambulikeHiyo vita ni ngumu kuisha kwa uzoefu mdogo nilionao mimi.
Sitaki kuwakatisha watu tamaa ila hata amani ikipatikana itakuwa ya muda tu.
... I think Goma is gone If not all of Congo!
Acha chuki we mwanamkeAcha chuki we mwanamke
... thank you for sharing your treasure of History and your very accurate analysis!Balkanization of Congo will be suicidal and a Security blunder like the Balkanization of Sudan, Ethiopia and Somalia. This appeasement will only embolden Tutsi extremism and separatism, unleashing a chain of dominoes throughout the region, if not an entire continent.
Either way, all African warlords always end up in the same scrapyard. Before Kagame, there was Jonas Savimbi, who built a deadliest force in the continent out of looting his country's minerals. He was a darling to the West, particularly the CIA, until when they divorced.
lakin tatizo wanalijua??Hawajakutana ili kumsuta Kagame bali kujadiliana