Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
heeehh kwaiyo wamekutana kumaliza ACHawana Jipya
Wakitoka Hapo Utasikia M23 Wanakwenda Bukavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heeehh kwaiyo wamekutana kumaliza ACHawana Jipya
Wakitoka Hapo Utasikia M23 Wanakwenda Bukavu
kisa nn😂😂😂mbona mambo n motooo🔥Naskia mwenyekit WA AU katolewa nje
Kumechangamka huko
Kwaiyo itakuajeKupata Amani au Haki ina gharama kubwa sana
Kulikoni? Hawa Marais wawili ndiyo wenye uhitaji wa mkutano lakini ndio wanaosubiriwa.
Kagame amewasili anakaa karibu na rafiki yake Museven
Sudani kusini imejitenga Ina amani kuliko ilivyokuwa, Eritrea wamejitoa Ethiopia Wana utulivu kiliko mwanzo, Somaliland wamejitoa Somalia, Wana utulivu na maendeleo kukiko kabla hawajajitenga, suluhisho la Kongo ni kujitenga kwa Kongo mashariki, nje ya hapo ni Vita isio na mwisho.Balkanization of Congo will be suicidal and a Security blunder like the Balkanization of Sudan, Ethiopia and Somalia. This appeasement will only embolden Tutsi extremism and separatism, unleashing a chain of dominoes throughout the region, if not an entire continent.
The redrawing of colonial boundaries will tear down the entire security architecture of Africa. It's a frightening prospect to any serious thinker.
Either way, all African warlords always end up in the same scrapyard. Before Kagame, there was Jonas Savimbi, who built a deadliest force in the continent out of looting his country's minerals. He was a darling to the West, particularly the CIA, until when they divorced.
Kwaiyo Mashabiki waiache itawaliwe na RwandaSudani kusini imejitenga Ina amani kuliko ilivyokuwa, Eritrea wamejitoa Ethiopia Wana utulivu kiliko mwanzo, Somaliland wamejitoa Somalia, Wana utulivu na maendeleo kukiko kabla hawajajitenga, suluhisho la Kongo ni kujitenga kwa Kongo mashariki, nje ya hapo ni Vita isio na mwisho.
Inawezekana wazungu wamechoka hio conflict wameoma waisapoti Kigali iumalize huo mzozo kijeshi, tusiangalie rasilimali tu, tuangalie na amani, utulivu na usalama wa watu, Kinshasa miaka yote imeshindwa Kuleta utulivu, je, hali hio iachwe iendelee hivyo hivyo?
Sudani kusini imejitenga Ina amani kuliko ilivyokuwa, Eritrea wamejitoa Ethiopia Wana utulivu kiliko mwanzo, Somaliland wamejitoa Somalia, Wana utulivu na maendeleo kukiko kabla hawajajitenga, suluhisho la Kongo ni kujitenga kwa Kongo mashariki, nje ya hapo ni Vita isio na mwisho.
Inawezekana wazungu wamechoka hio conflict wameoma waisapoti Kigali iumalize huo mzozo kijeshi, tusiangalie rasilimali tu, tuangalie na amani, utulivu na usalama wa watu, Kinshasa miaka yote imeshindwa Kuleta utulivu, je, hali hio iachwe iendelee hivyo hivyo?
Rwanda hawezi kuitawala, kule Kigali kwenyewe ni kwa Moto, sema atakuwa na ushawishi mkubwa Kama ule wa Uingereza kwa Marekani, France kwa Belgium, china kwa korea n.k Ni Jambo la kawaidaKwaiyo Mashabiki waiache itawaliwe na Rwanda
Yeah una hoja kabisa, jimbo la Kivu kusini limepakana na Burundi hasimu wa Rwanda na hawezi kukubali eneo hilo liwe chini ya serikali ya Kigali.....pia Uganda ana maslahi yake huko Kivu Kaskazini hayupo tayari kuyapoteza kirahisi kwa Rwanda.Rwanda hawezi kuitawala, kule Kigali kwenyewe ni kwa Moto, sema atakuwa na ushawishi mkubwa Kama ule wa Uingereza kwa Marekani, France kwa Belgium, china kwa korea n.k Ni Jambo la kawaida
Si wakate hiyo shingo ya msaliti wachomoe tu🤔
Mbona kwenye picha simwoni Tshekedi?. Sidhani kama kweli Marais wa DRC na Rwanda wanaweza kukubaliana na kushikana mikono ya upendo.
Mashariki apewe Zitto Kabwe 🐼😂Kwaiyo Mashabiki waiache itawaliwe na Rwanda
Hali ya usalama haiko imara kipindi kama hiki ndio maana katulia hawatoki tu kirahisi unaweza usirudi au ukarudi sio rais.Mbona kwenye picha simwoni Tshekedi?. Sidhani kama kweli Marais wa DRC na Rwanda wanaweza kukubaliana na kushikana mikono ya upendo.
Trump anajua siri ya kinachoendelea ila kwa kuwa wanao uana ni wafrica dawa ni kuwaacha wamalizana na ujinga wao!Trump: Marekani ikisitisha Ufadhili Kwa UN Vita ya Congo itaisha
Sijajua alimaanisha nini 😀
Kwenye kamera wanambembeleza na kum massage waonekane wanafuata haki za binaadam. Nje ya camera huenda hata kumlawiti wamemlawiti halafu wakamchinjaSi wakate hiyo shingo ya msaliti wachomoe tu🤔