Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Hao ndio askar wetu, hakuna weledi kabisa, mtu una silaha lkn akili haijatulia, wanajeshi na nyie achen dharau, hapo angetii amri wala kusingekua na matata, haya ni mabalaa yakujifanya mimi unanjua wewe
 
...Wajeda wako very well trained na wana Mazoezi, nimewahi pia kushuhudia police wanne wakishindwa kumdhibiti mwanajeshi mmoja tuu. Police wako vizuri kuonea raia tuu.
Ndio maana unamkuta koplo tuu kitambi hicho utadhani pipa la kangara !!
 
Anakuwa amefungua usalama hata ukitrigger haiwezi toka bullet
 
Nasikia huyo mjeshi ni std 7, wajeshi wengi wamekalia misifa.
 
Ndio maana unamkuta koplo tuu kitambi hicho utadhani pipa la kangara !!
[emoji13] Mkuu ungekuwepo Leo tena hapa njia panda ya Kampala, ungekunywa bia hadi ukatambaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Utawezaje kutoa pesa ATM wakati wanaweka ,,, Elimu muhimu sana si kwa majeshi tu Bali kwa jamii nzima .
Hamjawahi kukutana na situation kama hizi na hawa wapiga push ups kwenye godoro especially wakiwa na silaha huku wakiamini wao wapo kwenye mstari. Inavyoonekana huyo soldier tayari alikuwa ndani ya kibanda cha kutolea pesa na hao wapiga push ups kwenye godoro wakawa wemefika na kumuamrisha kinguvu aache alichokuwa akifanya kwanza.
Wanajeshi hawapendi zarau tena mbaya zaidi kutoka kwa hao wenye nguo za kaki..
 
Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuu
Kwani we unaonaje Krait?
Nauliza tu[emoji13]
 
Hii inaonyesha askari Polisi hawana mafunzo ya kutosha ya matumizi ya silaha. Ndio maana ni vituko tuu kama tulivyoona kwa Malima, kule Morogoro au hata kwa Akwilina
Wao wapo imara kulenga risasi juu na kupiga daladala R.I.P akwilina
 
TUNASHUKURU KAMA HUYO Mwanajeshi yuko salama

Polisi, alishndwaje kuvumilia jamaa atoe hela kwa sababu ni kitendo cha dakika moja tu

Halafu sheria ya bunduki, usikwoneshe mtu ambaye huna nia ya kumpiga risasi
Polisi wanaongoza kwa lugha chafu na ya dharau hapa Tanzania
 
Haya mambo ya kuleta ujuaji mwisho unaishia pabaya...huyo mjeda anajifanya mwamba usikute hapo atm alikuwa anatoa buku 10 tu
Haha. Wanajeshi wanahisigi hii nchi ni ya kwao peke yao.
 
Wanajeshi mafunzoni kwao wanafunzwa kudharau kz ya polisi ndy maana huyo mjeshi alikana hiyo amri. Wajeshi ni mazwazwa haiwezikani upo kiraia alfu unaleta ubabe. Wajeshi wote ni mazwazwa, mfano mzuri naona kwa babu yangu ni zwazwa wa kutupwa.
Zwazwa basha wako choko wewe uliyeolewa na police.Police mnalugha chafu sana
 
Hii sio mada ni habari usichanganye mambo
 
Nataman upewe SMG na ujue mashart ya silaha na ukutane na tukio kama hilo ndo utajua polisi wajinga au wako sahihi
 
Anakuwa amefungua usalama hata ukitrigger haiwezi toka bullet
Kwa wewe unayejua matumizi sahihi.....sio kwa hawa POLISI WANAOPIGA RISASI HEWANI KISHA inakata kona INAENDA KUUA RAIA ALIYE NDANI YA DALA DALA
 
TUNASHUKURU KAMA HUYO Mwanajeshi yuko salama

Polisi, alishndwaje kuvumilia jamaa atoe hela kwa sababu ni kitendo cha dakika moja tu

Halafu sheria ya bunduki, usikwoneshe mtu ambaye huna nia ya kumpiga risasi
hauna akili... angalia Aya ya pili pumba uliyo andika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…