Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana unamkuta koplo tuu kitambi hicho utadhani pipa la kangara !!...Wajeda wako very well trained na wana Mazoezi, nimewahi pia kushuhudia police wanne wakishindwa kumdhibiti mwanajeshi mmoja tuu. Police wako vizuri kuonea raia tuu.
Anakuwa amefungua usalama hata ukitrigger haiwezi toka bulletKulikuwa na ulazima Polisi kutumia Bunduki kwa mtu aliye mikono mitupu?
Unajua sheria za matumizi ya Bunduki?
Kuna siku nipo kwenye gari nikapishana na Polisi wakiwa kwenye Defender huku Bunduki wakiwa wamezielekeza mbele utadhani kuna adui wanamlenga,
Nikajiuliza pale ikitokea kabofya Triger bahati mbaya risasi ikafyatuka na kuua mtu itakuaje?
[emoji13] Mkuu ungekuwepo Leo tena hapa njia panda ya Kampala, ungekunywa bia hadi ukatambaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Ndio maana unamkuta koplo tuu kitambi hicho utadhani pipa la kangara !!
Hamjawahi kukutana na situation kama hizi na hawa wapiga push ups kwenye godoro especially wakiwa na silaha huku wakiamini wao wapo kwenye mstari. Inavyoonekana huyo soldier tayari alikuwa ndani ya kibanda cha kutolea pesa na hao wapiga push ups kwenye godoro wakawa wemefika na kumuamrisha kinguvu aache alichokuwa akifanya kwanza.Utawezaje kutoa pesa ATM wakati wanaweka ,,, Elimu muhimu sana si kwa majeshi tu Bali kwa jamii nzima .
Kwani we unaonaje Krait?Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuu
Wao wapo imara kulenga risasi juu na kupiga daladala R.I.P akwilinaHii inaonyesha askari Polisi hawana mafunzo ya kutosha ya matumizi ya silaha. Ndio maana ni vituko tuu kama tulivyoona kwa Malima, kule Morogoro au hata kwa Akwilina
Polisi wanaongoza kwa lugha chafu na ya dharau hapa TanzaniaTUNASHUKURU KAMA HUYO Mwanajeshi yuko salama
Polisi, alishndwaje kuvumilia jamaa atoe hela kwa sababu ni kitendo cha dakika moja tu
Halafu sheria ya bunduki, usikwoneshe mtu ambaye huna nia ya kumpiga risasi
Haha. Wanajeshi wanahisigi hii nchi ni ya kwao peke yao.Haya mambo ya kuleta ujuaji mwisho unaishia pabaya...huyo mjeda anajifanya mwamba usikute hapo atm alikuwa anatoa buku 10 tu
Zwazwa basha wako choko wewe uliyeolewa na police.Police mnalugha chafu sanaWanajeshi mafunzoni kwao wanafunzwa kudharau kz ya polisi ndy maana huyo mjeshi alikana hiyo amri. Wajeshi ni mazwazwa haiwezikani upo kiraia alfu unaleta ubabe. Wajeshi wote ni mazwazwa, mfano mzuri naona kwa babu yangu ni zwazwa wa kutupwa.
Hii sio mada ni habari usichanganye mamboMuandishi wa mada ameandika vizuri sana na mada inaeleweka,nimeupenda uandishi wake,
Pole kwa wafiwa na majeruhi Mungu awasaidie wapone majeraha yao,pia uchunguzi ufanyike ili kujua kilichotokea ni nini hasa ili kujaribu kuzuwia kitendo kama hicho kisije kujirudia tena.
Nataman upewe SMG na ujue mashart ya silaha na ukutane na tukio kama hilo ndo utajua polisi wajinga au wako sahihiHapo kwenye red..Haihitaji akili ya kurusha roketi kujua wewe ni nani . ?? Mbona ni rahisi sana..
Hapo kwenye bold Nyeusi....
Inamaana habari hujaisoma au...?? Au ndio kujitoa ufahamu sio..!!!??
Ilikuwa hivi
Halafu wakafanya hivi..
Mwanajeshi akafanya hivi..
Sasa hebu niambie hapo alitakaje kumpokonya silaha..
Au ndio Polisi mnatumia zile mbinu zenu kishenzi za kutwist ushahidi ili kujilinda...? Yani unataka kumbambika Mwanajeshi kesi ya uporaji..
Shame on you
Kwa wewe unayejua matumizi sahihi.....sio kwa hawa POLISI WANAOPIGA RISASI HEWANI KISHA inakata kona INAENDA KUUA RAIA ALIYE NDANI YA DALA DALAAnakuwa amefungua usalama hata ukitrigger haiwezi toka bullet
Aha ha haaaaa! AngewaAKWILINAHapa Tabora juzi askari ameshuka kwenye akiwa ameilekeza bunduki mbele. Mimi ikabidi nimwambie deteva aongeze mwendo maana bunduki isije kufyatuka ikatuua.
hauna akili... angalia Aya ya pili pumba uliyo andika hapoTUNASHUKURU KAMA HUYO Mwanajeshi yuko salama
Polisi, alishndwaje kuvumilia jamaa atoe hela kwa sababu ni kitendo cha dakika moja tu
Halafu sheria ya bunduki, usikwoneshe mtu ambaye huna nia ya kumpiga risasi