Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Kama tumeruhusu uwepo wa nyumba za ibada zisizosajiliwa,basi kumfungia huyu jamaa ambaye ameanza kutoa huduma hapo matembele mwisho tangu miaka ya 2007 hadi sasa basi itakuwa siyo haki wakimfungia Leo baada ya miaka yote hiyo.

Wasitake kuanza kutugawa watanzania kwa kigezo Cha udini.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Akate leseni basi,aendele kutapeli vizuri

Ova
 
Bila shaka na wewe alikufanyia hio simulation kwa hilo tango.Maana kama ulikubali kifuatacho ni action.Mungu awalinde wakristo wote wasio na maarifa,wasiosoma biblia, wasiojitambua na walio ktika msafara wa mamba
AAXCDPjc.jpeg
 
Kanisa la WRM linaloongozwa na nabii Suguye, limezuiwa kuendelea kutoa huduma za kiroho mpaka litakapokamilisha hatua za usajili.

Hayo yanakuja siku chache kabla ya nabii Suguye kuwaagiza waumini kwenda na nywele za utosini ili kuwakinga na maadui zao.

Kanisa hilo lililopo kivule,matembele ya pili limejizolea umaarufu na baadhi ya waumini wake ni Mh Mwita Waitara.

Una maoni yoyote kuhusu hili na makanisa ya kinabii kwa ujumla?
Source :Mwananchi
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-120506.png
    Screenshot_20221220-120506.png
    235.8 KB · Views: 15
Nabii Suguye, katika ibada nabii Suguye aliagiza waumini wake waje na nywele za utosini.
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-120506.png
    Screenshot_20221220-120506.png
    235.8 KB · Views: 16
Back
Top Bottom