Serikali inakosea sana kutoa vibali vya kufungua makanisa,,ninaona ni bora iwe inashirikiana na taasisi zote za kikristo kusajili au kutoa kibali chochote e,g Tec,na umoja wa makanisa ya kipentekoste,,kwa sababu kuna makanisa mengi sana ya kihuni yanaanzishwa..Lazima kuandaliwe vigezo hata 100 vya kulisajili kanisa ili kuepukana na makanisa fake yenye mafundisho fake na maombi fake..Na hivyo vigezo viwe ni mchanganyiko vya umoja wa makanisa na serikali. La sivyo mpaka waganga wa kienyeji watafungua makanisa....Huyo suguye anajiita eti chief prophet,,sijui alipatia wapi hicho cheo cha kujimwambafy,,,lazima kuwe na filter makini dhidi ya makanisa mapya,,, siku hizi hadi watu wachafu kama lgbt nao husajili makanisa yao ya geresha na haramu lazima kuwe na mchujo ili wasije nao tukawaona Tanzania