Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Habari ndo hyo ya Mjini
IMG-20221220-WA0006.jpg
 
Hellow

Serikali imeingilia kati huduma za kiroho zitolewazo kanisa la WRM kivule maharufu kwa nabii suguye mpka sasa hawajatoa sababu maalumu ya kuzuia huduma hizo kusitishwa kwenye kanisa hilo.

Kwa upande wangu kama walivyo chunguza hilo kanisa na kugundua mapungufu yaliyopo basi wafanye hivyo kwa Mwamposa pia japo watu wanaosali huko kwa Mwamposa wakisikia unamponda watakujia juu as if walizaliwa huko.

Na baada ya hapo pia mchunguzeni pia Kuhani Musa nae ana jambo lake yule msihishie hapo tu piteni, na kwa Gwajima hawa watu wana kula hela za masikini acha leo tuwapazie sauti wanyonge hawa labda watatukumbuka huko mbeleni.

Mkalitazame na mnipe mrejesho nawasilisha.
Kuna jamaa anahubiria mpaka muda huu saa Saba kasoro usiku so walioko jirani naye nadhani hawalali. Yaani bana Hawa wakristo wansali wasikwie na watu Kama kutaka their ego to be nurtured. Na yesu akikataa tuwe tusipayuke kuwa tusitake kusiika na mataifa Kama kutaka thawabu
 
Wafike serikali za mtaa waseme kero yao
 
Hellow

Serikali imeingilia kati huduma za kiroho zitolewazo kanisa la WRM kivule maharufu kwa nabii suguye mpka sasa hawajatoa sababu maalumu ya kuzuia huduma hizo kusitishwa kwenye kanisa hilo.

Kwa upande wangu kama walivyo chunguza hilo kanisa na kugundua mapungufu yaliyopo basi wafanye hivyo kwa Mwamposa pia japo watu wanaosali huko kwa Mwamposa wakisikia unamponda watakujia juu as if walizaliwa huko.

Na baada ya hapo pia mchunguzeni pia Kuhani Musa nae ana jambo lake yule msihishie hapo tu piteni, na kwa Gwajima hawa watu wana kula hela za masikini acha leo tuwapazie sauti wanyonge hawa labda watatukumbuka huko mbeleni.

Mkalitazame na mnipe mrejesho nawasilisha.
Kinachoitwa huduma ya kiroho kiroho si kingine bali hujuma ya kiroho ambapo matapeli huwachezea akili wajinga na wapumbavu waliokata tamaa na kuwaibia. Yesu hakuhubiri upuuzi wanaohubiri. Hata hivyo, serikali ilichelewa kuwashukia wezi hawa wa kiroho wenye kujaa roho mtakakitu.
 
Mawazo ya kidikteta, hakuna mtu au taasisi yenye hatimiliki na dini. Nani kakuambia TEC au umoja wa makanisa ya kipentekoste ndio n.k ndio vipimo sahihi vya dini ya Kikristo ?
Serikali inakosea sana kutoa vibali vya kufungua makanisa, ninaona ni bora iwe inashirikiana na taasisi zote za kikristo kusajili au kutoa kibali chochote e.g Tec,na umoja wa makanisa ya kipentekoste, kwa sababu kuna makanisa mengi sana ya kihuni yanaanzishwa.

Lazima kuandaliwe vigezo hata 100 vya kulisajili kanisa ili kuepukana na makanisa fake yenye mafundisho fake na maombi fake. Na hivyo vigezo viwe ni mchanganyiko vya umoja wa makanisa na serikali. La sivyo mpaka waganga wa kienyeji watafungua makanisa.

Huyo Suguye anajiita eti chief prophet, sijui alipatia wapi hicho cheo cha kujimwambafy, lazima kuwe na filter makini dhidi ya makanisa mapya, siku hizi hadi watu wachafu kama lgbt nao husajili makanisa yao ya geresha na haramu lazima kuwe na mchujo ili wasije nao tukawaona Tanzania
 
Makanisa yote wanakusanya. Kuuza mafuta na maji ya upako ni aina ya biashara walizochagua wao.
Hakuna makanisa ya makanjanja
Wakusanya sadaka,wauza mafuta,maji ya upako huko

Ova
 
Kama tumeruhusu uwepo wa nyumba za ibada zisizosajiliwa,basi kumfungia huyu jamaa ambaye ameanza kutoa huduma hapo matembele mwisho tangu miaka ya 2007 hadi sasa basi itakuwa siyo haki wakimfungia Leo baada ya miaka yote hiyo.

Wasitake kuanza kutugawa watanzania kwa kigezo Cha udini.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwani umesoma sababu ya kufunguwa toka kwa mtoa mada? Amekiuka masherti ya usajili
 
Back
Top Bottom