Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Akate leseni basi,aendele kutapeli vizuri

Ova
 
Kanisa la WRM linaloongozwa na nabii Suguye, limezuiwa kuendelea kutoa huduma za kiroho mpaka litakapokamilisha hatua za usajili.

Hayo yanakuja siku chache kabla ya nabii Suguye kuwaagiza waumini kwenda na nywele za utosini ili kuwakinga na maadui zao.

Kanisa hilo lililopo kivule,matembele ya pili limejizolea umaarufu na baadhi ya waumini wake ni Mh Mwita Waitara.

Una maoni yoyote kuhusu hili na makanisa ya kinabii kwa ujumla?
Source :Mwananchi
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-120506.png
    235.8 KB · Views: 15
Nabii Suguye, katika ibada nabii Suguye aliagiza waumini wake waje na nywele za utosini.
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-120506.png
    235.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…