Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

Kanisa la WRM la Nabii Suguye lililopo Kivule matembele ya pili jijini Dar es salaam limesitishwa na Serikali kutoa Huduma za Kiroho

Waumini wa Kanisa hilo wameshauriwa kutafuta Makanisa mengine

Waumini wa WRM ndio hutakiwa kupeleka nywele za utosini na kucha Kanisa.

Miongoni mwa Watu maarufu wanaosali WRM ni pamoja na mbunge wa Chadema, mh Halima James Mdee na msanii wa muziki wa Kizazi kipya Nandi

Source: ZamaMpya tv
 
Bila shaka kanisa hilo litakuwa limefungiwa kwa njama za CCM ilikuwakomoa CHADEMA. Mungu anawaona enyi magamba mliokula njama kutekeleza uhuni huu.
 
Siku hizi washirikina nao hujificha kwenye pazia la dini.

Lakini wa kushangaa ni hao waumini ambao utakuta wanamfuata mtu ambaye kwa matendo yake ni dhahiri ni mshirikina/mchawi au tapeli lhuku akijiita nabii, mchungaji au askofu.

Kristo aliyaona haya kabla hayajatukia, aliposema, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa", na kwamba kutakuwa na manabii wa uwongo. Sahizi tunashuhudia. Japo si haki yangu kuhukumu, lakini kwa maarifa aliyenijalia Muumba wetu, nathubutu kusema kuwa wote wanaojiita manabii, ni hao manabii wa uwongo na matapeli.
 
Merry Christmas
 
Kwa kosa gani?
 
Huyu jamaa atakuwa ameawafukunyua sana wake za watu

Ova
 
Usajili? Dunia ina mambo, yaani kumuabudu Mungu hadi usajili? Labda kama ni chama cha siasa au NGOs za kiharakati.
Hujui utaratibu na Sheria za nchi yako wewe mmumini wa Suguye. Unachojuq ni kufuata utaratibu batili wa tapeli Suguye wa kubeba kucha na nywele za utosini mwako tu.
 
Nina imani hivyo vyote Mwamposa hana. Sasa inakuwaje yeye aendelee kutamba wakati Suguye anapigishwa kwata na serikali ya CCM? Au haya ni mazingaombwe ya CCM ili kutusahaulisha kukatika kwa umeme na ukali wa maisha?
 
Hujui utaratibu na Sheria za nchi yako wewe mmumini wa Suguye. Unachojuq ni kufuata utaratibu batili wa tapeli Suguye wa kubeba kucha na nywele za utosini mwako tu.
Mkuu hawa wanawake wewe waone hivihvi....wana maajabu sana. Ndio maana walidanganywa na shetani kula tunda walilokatazwa na Mungu. Bado roho ya ushetani inawaandama.
 
As nation is good start ibada zimekuwa zakichawi sio maombi
 
Ulimjua huyo dada kabla ama ulimuonea hapo hapo kanisani/kwenye runinga ?

Ndugu yangu usihadaike. Hawa ni wahuni tu Kama wahuni wengine. Huyo dada alikuwa kipofu wamchongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…