Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakemee kwa nguvu pia anayotendewa lisu kiasi mpaka sasa ypo hospitaliHaitasaidia nikikwambia nimetokea sura gan,ya wap,na ya nani cha msingi ni wajibu wa kila mmoja wetu kukemea uovu unaojitokeza na utakaojitokeza katika jamii inayotuzunguka.
Shekhe amemzungumzia mange kutokana na vitendo vyake vya kuudhi,kebehi,kashfa na lugha chafu ambazo si stahiki kwa jamii yetu hii ya "hapa kazi tu"
binafsi naunga mkono tamko hili na pia ni wito kwa viongozi wa dini kuendelea kukemea maovu yatakayojitokeza.
Huu ni mfano wa kuigwa.hakuna personal interest yeyote kama wengi wanavyodai.
Na
yeddy guyy
[Gemstone dealer]
Hapana bwana tunamuwekea maneno mdomoni.Kasema hatutamsikia tena sasa tafsiri yake si Baba Jenny bye bye
Ni kweli!Dhulma wizi uzinzi vyote vibaya zio dhulma tu.
Kuna la zaidi ya hili nahisi,Ustahimilivu wa sheikh nimeuona ... mweh. Yupo fasta utafikiri alishajiandaa .... lol
Kuna sehemu nimeandika habari za Chama au CCM Coco? Soma vizuri andiko langu.
Sijamuwazia kifo kimambi nimeichukua ilivyo.Mkuu wewe sio mjuzi Wa Lugha za picha? Hujui kusoma katikati ya mistari?
Hata wana wa Israel wakati wana muudhi Mwenye Enzi Mungu hakukurupuka, aliwaacha mpaka hizo dhambi zifurike na kwa nini Mungu alifanya hivyo, sijui kwa kweli!Ndio maana inafika mahali tunahoji Dogma za dini zingine. Kama issue ni matusi ya Mange kwa watu hajaanza Leo kutukana. Kwa nini huyo Sheikh hajawahi kumuomba Mungu "amupumuzishe" huyo Mange kwa matusi kwa watu wengine mbalimbali? Kwa hiyo,Sheikh anataka kutueleza kuwa Mungu "anaumwa" sana na matusi kwa Masheikh na Wachungaji kuliko raia Wa kawaida? Ina maana ndio kusema "masikio" ya Mungu yanapokea frequencies tofauti tofauti za matusi?
Nimeignore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nimeanza na "KAMA"
Ikiwa sio una ignore ni rahisi kihivyo or unaeleza.
Neno la ukweli siku zote sio zuri,na neno zuri halina ukweliYaani Shekh angekaa kimya tu angejijengea heshima kubwa sana. Huyu kasemwa kidogo tu na kamtu kama Mange tena kwenye instragram kaita press conference na kutishia kuua je angesulubiwa kama Yesu angefanyaje?
True haswa ukizingatia ni mama mwenye watotoNafikiri Mange ajitahidi kuendesha harakati zake bila kutusi wakubwa, lazima ajiulize mwisho wa haya ni nini?