Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Nimemsitiri wengine wamemuumbuaa!!Endelea tu kumstiri! Ila najua pale kuna Kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemsitiri wengine wamemuumbuaa!!Endelea tu kumstiri! Ila najua pale kuna Kazi!
hapo ndipo naposhangaa mm huyo Mungu ni wa aina gani anaeenda kumuomba [emoji20]Hicho anachokieleza kwamba Mange "ataondoka" ni kuwazia mambo yasiyowezekana! Katika nyakati zetu ni lazima kuacha kutumia matisho kama zamani kwamba ukimfanya hivi dhidi ya dini utadhurika. Kama anamaanisha kuwa Yeye Sheikh na viongozi wenzie watamuomba Mungu ili "amupumzishe" Kimange hilo ni jambo ambalo Mungu hawezi kufanya kabisa! Labda kama kuna Mungu tofauti na tunayemjua wengine. Ningeelewa zaidi ikiwa angemuombea Mange maisha marefu na kujaliwa moyo Wa kutambua makosa yake na kutubu.
Watu kama nyie huwa hamkosekanagi; Kuna haja gani ya kuhusisha darasa na Ishu hiyo? Ungeweza Kusema tu kuwa Sio Mamnge ni Mange Kimambi kuna shida hapo? Ndio maana hata vitu vyenye tija na Taifa huwa mnaingiza siasa kwa Staili hii. Anyway huenda ukawa mfuasi wa Mange.mkuu ulivushwa darasaa aisee maana errors za kutoshaa
SIO;Mamnge
NDIYO;Mange kimambi
anaenda kumuomba mungu wake ambaye ni shetani.hapo ndipo naposhangaa mm huyo Mungu ni wa aina gani anaeenda kumuomba [emoji20]
UKIMYA NAO NI JIBU TOSHAhaitasaidia nikikwambia nimetokea sura gan,ya wap,na ya nani cha msingi ni wajibu wa kila mmoja wetu kukemea uovu unaojitokeza na utakaojitokeza katika jamii inayotuzunguka.shekhe amemzungumzia mange kutokana na vitendo vyake vya kuudhi,kebehi,kashfa na lugha chafu ambazo si stahiki kwa jamii yetu hii ya "hapa kazi tu"
binafsi naunga mkono tamko hili na pia ni wito kwa viongozi wa dini kuendelea kukemea maovu yatakayojitokeza.
huu ni mfano wa kuigwa.hakuna personal interest yeyote kama wengi wanavyodai.
Na
yeddy guyy
[Gemstone dealer]
Kasema akituma jini ninaenda ikulu, unasemaje?Hakuna marefu yasio na ncha acha Wamshughulikie
ataanza musa kabla mange, mark my words.Nadhani huyu mange atafwariki ulimwengu very very soon, na akifyarikyi basi itakuwa mbegu ya shetani imekufa kabisa kabisa, maana kuna watu walijidai wao ni CCM na wao ni nchi ila leo hii tunashuhudia hawapo kabisa na kila mtanzania anajivunia kuwa mwana CCM.
Kwani siku hizi uko wapi Dada? Umeanza kukengeuka?
mkuu sina tatizo na wewe pia kuwa mfuasi au kutokuwa mfuasi wa mange haijalishi as long as ni mtanzania mwenzangu.pale unapokuwa [HASHTAG]#mjinga[/HASHTAG] then hutaki kuelekezwa unaelekea kuwa [HASHTAG]#mpumbavu[/HASHTAG].Watu kama nyie huwa hamkosekanagi; Kuna haja gani ya kuhusisha darasa na Ishu hiyo? Ungeweza Kusema tu kuwa Sio Mamnge ni Mange Kimambi kuna shida hapo? Ndio maana hata vitu vyenye tija na Taifa huwa mnaingiza siasa kwa Staili hii. Anyway huenda ukawa mfuasi wa Mange.
Kuna sehemu nimeandika habari za Chama au CCM Coco? Soma vizuri andiko langu.Kama unaongelea chama.. mimi sina kadi ya chama chochote.
Mimi nimshabiki wa JPM
Siku nitakayo chukua kadi ya chama anachoongoza nitakuambia twende pamoja.
Labda hata 2021 itaweza kuwa.. mimi ni mdau tu wa JF.
Anajichimbia kaburi, bahati mbaya taasisi anazocheza nazo sio za kugusa, imajin serikali inamuwinda na taasisi za dini tena uislamu na ukatoliki zinamuwinda. Hizi taasisi tatu huwezi zikwepa.mange anatisha
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na maji ya afya pembeni