DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Hatima ya pumzi ya mtu anaijua Mungu makubwa shekhe badala aombee watu kheri anaombea vifo aisee hizi dini hizii bora kumuomba Mungu ki vyangu tu ijumaa atatoa mawaidha watu wapendane yeye anawaza kuua.
 
Na zile za kigoma na sumbawanga si dini yao inarihusu ama?
Lakini sidhani km hilo ndo tatizo linalomsukuma yy kufanya hivyo, labda kuna lingine la kitambo hili limetifua tu lile lingine,
Nawaza tu wakuu
I’ve got no clue walahi
 
anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yake

Ukweli kwamba zile picha alikuwa kwenye kampeni ya Mtulia??
Huyo dadenu kawaroga.
 
Aisee hiyo kitu ipo kabisa na Mola huwa anasikia!
Nimeshuhudia watu wakianguka
Mtu mwenye ukaribu na Mwenye Enzi Mungu sio wa kuchezea
Soma kitabu cha Samueli
Huyu Musa hana usafi wala ukaribu na Mwenyezi Mungu! Anashirikiana na CCM na Bashite wanaotesa na kudhulumu watu, unadhani huo ukaribu na Mungu atautoa wapi?
 
Kazi kweli kweli!kwa Mange anaweza akawa sawa but Jamii Forums atachemka.Hii ni forum ambayo mtu anpost maoni yake na sio wamiliki wa jamii forums.Wamiliki wanaangalia tu content na lugha,wakisema waishtaki jamii forums hakika watachemka!
 
Mange kasema jamaa anapenda chura
 
Huyu Musa hana usafi wala ukaribu na Mwenyezi Mungu! Anashirikiana na CCM na Bashite wanaotesa na kudhulumu watu, unadhani huo ukaribu na Mungu atautoa wapi?
I guess time will tell
Tick tock tick tock
Kaaazi kweli kweli
 
Kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho wake, ni jambo la kusubiri na kuona.
 
Umefika mda wakuanza kumtafta mchawi / Ccm Kinondoni ampati kitu ...watu wamewasusa .
Tena nadhani wamshukuru sana Mungu kwa kuwa tal hayupo hapa bongo. Angekuwepo ingekywa ni asbuhi tu. Na huyo shehu olusebwn oba Sanyo anarefer mbingu ipi?
 
Huyu naye muongo. Mange alitukana wapi waislamu wakati yeye mwenyewe ni muislamu
Unatafuta huruma kwa waislamu kiaina
Umelikoroga subiri aibu.
Watu ndio wanampelekea Mange habari sasa huko mtaani kama uko safi ndio salama yako kama ni mchafu yataanikwa mpaka kwenye magazeti.
 
Chadema ni wajinga sana ,wanashangilia matusi ya Mange Kimambi
Inasikitisha sana, huyu dada ni kazi ndogo sana kumrekebisha, hao anaowaumiza kwa matusi ambao wana uwezo, si wanfanye mpango wawalipe wamexican ama gege la BROTHERS nao watamshughulikia vizuri sana.

America kila kitu kinawezekana.
 
Back
Top Bottom