DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Ustahimilivu wa sheikh nimeuona ... mweh. Yupo fasta utafikiri alishajiandaa .... lol
 
Wakemee kwa nguvu pia anayotendewa lisu kiasi mpaka sasa ypo hospitali
 
Labda aombe majini yake ndio yamshughulikie mtu

Ana ufalme wa kuzimu huyu
 
Msema kweli mpenzi wa mungu ambae pia ni adui wa mwanawaadam.
 
Huyu shehe hamjui mange nini? Ataanikwa hadi nguo zake za ndani hata kama zina kitobo Mange ataanika hizo taarifa.
Kuhusu dua mbaya hilo dua litampata yy mwenyewe kwa sababu mange anatoa sauti za wanyonge na asisahau kuwa Mungu si Athumani
 
Hata wana wa Israel wakati wana muudhi Mwenye Enzi Mungu hakukurupuka, aliwaacha mpaka hizo dhambi zifurike na kwa nini Mungu alifanya hivyo, sijui kwa kweli!
Hata watoto wa Eli, waliangamizwa baada ya dhambi zao kuwa nyingi!
Sodoma na Gomora nayo pia ni hivyo hivyo!
Tumwombe Mola wetu asituingize katika majaribu bali atuokoe katika maovu haswa kwa ajili ya vizazi vyetu na nchi yetu!
 
Yaani Shekh angekaa kimya tu angejijengea heshima kubwa sana. Huyu kasemwa kidogo tu na kamtu kama Mange tena kwenye instragram kaita press conference na kutishia kuua je angesulubiwa kama Yesu angefanyaje?
Neno la ukweli siku zote sio zuri,na neno zuri halina ukweli
 
Nafikiri Mange ajitahidi kuendesha harakati zake bila kutusi wakubwa, lazima ajiulize mwisho wa haya ni nini?
True haswa ukizingatia ni mama mwenye watoto
Kweli maadili yako wapi?
 
Mbona Gwajima alipoliamsha dude kwa mond hatukuona amekoswa busara hizi double standard zitatuua,

Mbona Gwajima alipotuma majini kwa bashite yakafeli hatukuzidharau dini yaani sisi Mungu atusamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…