pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Malezi mabovu, anatukana kama mlevi wa gongo!True haswa ukizingatia ni mama mwenye watoto
Kweli maadili yako wapi?
Na kama Mange anamzushia?anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yake
I’ve got no clue walahiNa zile za kigoma na sumbawanga si dini yao inarihusu ama?
Lakini sidhani km hilo ndo tatizo linalomsukuma yy kufanya hivyo, labda kuna lingine la kitambo hili limetifua tu lile lingine,
Nawaza tu wakuu
Msiba na siasa wapi na wapi! hujamsikia maelezo yake??matatizo ya kushabikia siasa za ccm ndio haya. sheikh mzima unaacha kuhangaika na Allah na wanaadamu unashabikia siasa za maji taka.
Hahahaha uwiiiMalezi mabovu, anatukana kama mlevi wa gongo!
anamtisha nani sasa. Mungu nae anaangalia kama huyo mange anaongea la ukweli au uzushi.asidhani Mungu ni wake peke yake
Huyu Musa hana usafi wala ukaribu na Mwenyezi Mungu! Anashirikiana na CCM na Bashite wanaotesa na kudhulumu watu, unadhani huo ukaribu na Mungu atautoa wapi?Aisee hiyo kitu ipo kabisa na Mola huwa anasikia!
Nimeshuhudia watu wakianguka
Mtu mwenye ukaribu na Mwenye Enzi Mungu sio wa kuchezea
Soma kitabu cha Samueli
I guess time will tellHuyu Musa hana usafi wala ukaribu na Mwenyezi Mungu! Anashirikiana na CCM na Bashite wanaotesa na kudhulumu watu, unadhani huo ukaribu na Mungu atautoa wapi?
Tena nadhani wamshukuru sana Mungu kwa kuwa tal hayupo hapa bongo. Angekuwepo ingekywa ni asbuhi tu. Na huyo shehu olusebwn oba Sanyo anarefer mbingu ipi?Umefika mda wakuanza kumtafta mchawi / Ccm Kinondoni ampati kitu ...watu wamewasusa .
Inasikitisha sana, huyu dada ni kazi ndogo sana kumrekebisha, hao anaowaumiza kwa matusi ambao wana uwezo, si wanfanye mpango wawalipe wamexican ama gege la BROTHERS nao watamshughulikia vizuri sana.Chadema ni wajinga sana ,wanashangilia matusi ya Mange Kimambi
Kwani hao mbwa wake wanaweza kupambana na cia? Acheni ulimbukeni wenu huo mnapopata vyeo msivyoviyarajia mnakuwa confusedSasa nikwambie, huyu jamaa licha ya kuwa shehe ila ni "mtoto wa mjini", ana "mbwa" mpaka marekani, jua hilo!