yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 489
hahahahaAlbadili, nasikia ni lazima isomwe misikiti saba kwa mpigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaAlbadili, nasikia ni lazima isomwe misikiti saba kwa mpigo.
Duh !Albadili, nasikia ni lazima isomwe misikiti saba kwa mpigo.
Uliaza lini kumueshimu hadi leo ndo unastisha rasmi mkuu?Huyo shehe nilikuwa namuheshimu sana lakini sasa hivi nimemdharau kupita bashite
Kumpata ni lazima maana mtu huvuna analolipanda!Shekhe mkuki umemwingia kashindwa kuvumilia,Sasa hiyo dua isipompata sijui atajificha wapi.
Na yeye angevunga tu , hapo sasa ndio ataharibu, bora atumie muda huo kupiga dua ya kuliombea taifa. Dhidi ya watu wasio litakia mema taifa hili
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,Yaani Shekh angekaa kimya tu angejijengea heshima kubwa sana. Huyu kasemwa kidogo tu na kamtu kama Mange tena kwenye instragram kaita press conference na kutishia kuua je angesulubiwa kama Yesu angefanyaje?
Ndiyo watu wenu hao.Aiseeee
bongo kiki kila kukicha
Kila mchuma janga hula na nduguze,juzi tumemzika jamaa kwa dhulma ya wizi...kaenda kuvamia kwa ndugu zetu wakigoma nao wakajibu mapigo Mara baada ya kutangaza kwa siku tatu mfululizo.RIP frank jembe langu.Kwa kweli