Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Zama hizo ndiyo haikuwa mchezo mchezo kuwa kiongozi wa kidini siku hizi hata majambazi wanaukwaa tuUria alikuwa ni askari
Sauli alikuwa ni mfalme na mpakwa mafuta wa Mwenye Enzi Mungu
Hapo ni tofauti kubwa sana kama unanielewa ninavyotofautisha kati ya wakuu wa dini na mtu wa kawaida!
Kwa Sheikh kuwa na nafasi hiyo sio kitu cha mchezo mchezo!
Ukiisoma Zaburi ya kwanza utanielewa zaidi!
Uwe na usiku mwema
Huyu sheikh kachafuliwi na mange anajichafua mwenyewe maana watu wanamjua sana inavyoonekana na ndiyo maana mange anapata data zote, Bora ngelikaa kimya wala yasingefika hapo yalipofika maana inazidi kumchafuaReputation ya sheikh inaweza ikashuka ghafla, nadhani hakunaga mtu ambae aligombana na Mange akabaki salama,.kakosea sana kumjibu.Mange ana source nyingi sana za info,wadangaji wote wa
Mjini wapo kule kwa mange,so yeye akilianzisha tu bhasi info zinakuwa zina flow tu. He has to learn from mh.Paul makonda
Hicho anachokieleza kwamba Mange "ataondoka" ni kuwazia mambo yasiyowezekana! Katika nyakati zetu ni lazima kuacha kutumia matisho kama zamani kwamba ukimfanya hivi dhidi ya dini utadhurika. Kama anamaanisha kuwa Yeye Sheikh na viongozi wenzie watamuomba Mungu ili "amupumzishe" Kimange hilo ni jambo ambalo Mungu hawezi kufanya kabisa! Labda kama kuna Mungu tofauti na tunayemjua wengine. Ningeelewa zaidi ikiwa angemuombea Mange maisha marefu na kujaliwa moyo Wa kutambua makosa yake na kutubu.
huyu shehe ni kama alicheza kamari kwa kumtisha Mange kuwa atakufa asipofunga mdomo wake ili atishike asiwatukane tena viongozi na anajua Mange ni muislam angeogopa....lakini kwa bahati mbaya ni kama amechochea moto kwenye kuni Mange ndio kazidi kumporomoshea matusi....inabidi awe mpole tu kama ni vita ameshashindwaHilo la kujipa nafasi ya kuhukumu, anyway... kwangu naona ni very complicated kuliko tunavyochukulia!!
Tusisahau, huyu sio mwanasiasa kwamba keshazoea kuoga matusi! Watu kama akina JPM wanafahamu kabisa kwamba kuoga matusi itakuwa ni sehemu ya maisha yao!!
Kinyume chake, huyu ni kiongozi wa dini... wala hana uzoefu wa kutukanwa hovyo hovyo tena bila sababu! Mbaya zaidi, ni mtu mzima! Halafu anaibuka mtu from nowhere na stori za uongo na kuanza kumwamgia matusi mazito mazito!!
Man, simuungi mkono suala la kuapiza lakini jaribu kuchukua nafasi yake! Nae ni binadamu... usitarajie eti kwavile ni kiongozi wa dini ndo basi wala haitamuuma kuambiwa mse'nge... tusi baya kuliko yote kwa mwanaume!
Suala la kumjibu Mange... naona ukisoma maoni ya watu wote yanaashiria kitu kile kile ambacho Sheikh amekisema! Kwamba, Mange anatumia matusi kama njia ya kuwatisha watu na kweli 99% ya watu wanamuogopa sana Mange kwa sababu tu ya kuogopa atawamwagia matusi!
Hatujui tu lakini ukweli ni kwamba Watanzania wapo vifungoni na aliyeshika funguo za Mahabusu ni Mange!! Na Mange hilo analifahamu ndo maana amejawa na kiburi kwa sababu tu anafahamu watu wanamuogopa kwa ajili ya matusi yake! Ni kwamba ameshapewa free pass ya "usimguse huyo... hivi unamjua vizuri wewe!!!"
Sheikh amegoma kuwa mfungwa!! Na amesema wazi kwamba watu walimuonya asimjibu kwa sababu atazidi kumwagiwa matusi! Sheikh Mkuu akagoma kuwa terrolized hata kama alifahamu haya yangetokea! Na kwenye Uislamu, kujitia unyonge wala sio sifa ya uchamungu!
Na hapa ndipo Waislamu wanapoonekana wakorofi manake kujitia unyonge kwao wala sio sifa!!
Tatizo mkuu unafiki mwingi sana na siasa zimetawala ktk kila jambo...ila ili ni moja kati mabeef ya kijinga ya Mange na kupokea udaku bila ya kuchekecha na pia mange akubali makosa ila kwa ili anatype nafsi inamsuta amechemshaKwanini mnapenda kumtetea mange ktk kila jambo? Ktk hili swala mange amekosea sana tena sana iwe sio shek iwe sio padri...yeye mange hana mamlaka wala chujio la kutuonyesha yupi shek na yupi padri.......hii ndio post ya mwanzo ya mange hapa alikuwa anataka kuaminisha watu kuwa shek yupo ktk siasa...wakati ukwel wa hio picha hao watu waccm wamekwenda ktk msiba wamekuta mashek wapo msibani hio sehem ya msiba aikuwa mbali na sehem zao za kampeni ..kukosea kwa Mange kunaanzia hapa kwanza
Deep in your heart you know that is not true!Zama hizo ndiyo haikuwa mchezo mchezo kuwa kiongozi wa kidini siku hizi hata majambazi wanaukwaa tu
Umeambiwa kumbe...so mjaribu then utuletea evidence hapa iwe ya chartng or video..hayo maneno ya kuambiwa ambiwa sio mazurHuyu sheikh hiyo michezo ya qaumu lut mbona ndo zakee!!tunajua sana Mimi niliambiwa na watu wake wa karibu haswaa!!
Yaani huyu Dada simpendi kwa kweli kivuruge huwezi muita mtumishi wa MUNGU au yoyote ****** ana mamlaka gani kutukana hadharani kwa chuki za kisiasa pumbavu sana mtu asiishi anavyotaka kukiogopa king'onda kimoja kama kunguru
Utofauti wa viongozi wa kislam na kikatoliki unauona hapa.
Ingekuwa ni askofu katukanwa hivyo wala asinge hangaika kujibu.
Kusoma falsafa na theoloji inasaidia kutoshiriki kwenye ujinga
Hahahaha nimeenjoyHapo ataanza kumrushia majini. Sasa mange ajipange vizuri ni Jina la Yesu maana hii ndo kiboko ya mijini na wachawi.
Wakristo hawana dini inayoeleweka lakini wameshikilia kitu chenye nguvu (JINA LA YESU) na hata masheikh na muft wanafahamu ukweli huu.
Nini maana ya kukemea maovu?? Ulitaka akae kimya??Shekhe mzima anamjibu Mange? Halafu ijumaa unakuta kakaa anaswalisha.