DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Uria alikuwa ni askari
Sauli alikuwa ni mfalme na mpakwa mafuta wa Mwenye Enzi Mungu
Hapo ni tofauti kubwa sana kama unanielewa ninavyotofautisha kati ya wakuu wa dini na mtu wa kawaida!
Kwa Sheikh kuwa na nafasi hiyo sio kitu cha mchezo mchezo!
Ukiisoma Zaburi ya kwanza utanielewa zaidi!
Uwe na usiku mwema
Zama hizo ndiyo haikuwa mchezo mchezo kuwa kiongozi wa kidini siku hizi hata majambazi wanaukwaa tu
 
Huko Insta kumechafuka kweli. Yule binti snasema kusudio la sheikh ni kumkosanisha yeye na waislamu. Lakini ameonyesha mabandiko yake mengi ya utetezi kwa waislamu wakati yeye sheikh hajawahi watetea zaidi ya kujipendrkeza kwa hao watesi wa waislamu.
Ametaja habati za Ponda, Kibiti na wale mashehe walio jela na kusema lini shehe huyo amewahi kuwasemea?
Kwa kweli muziki aliouanzisha shehe sidhani kama ataweza kuucheza
 
Reputation ya sheikh inaweza ikashuka ghafla, nadhani hakunaga mtu ambae aligombana na Mange akabaki salama,.kakosea sana kumjibu.Mange ana source nyingi sana za info,wadangaji wote wa
Mjini wapo kule kwa mange,so yeye akilianzisha tu bhasi info zinakuwa zina flow tu. He has to learn from mh.Paul makonda
Huyu sheikh kachafuliwi na mange anajichafua mwenyewe maana watu wanamjua sana inavyoonekana na ndiyo maana mange anapata data zote, Bora ngelikaa kimya wala yasingefika hapo yalipofika maana inazidi kumchafua
 
Sheikh hana maana kipindi waislam wanapata shida kibiti wala hakutia neno ..kama si sheikh dili nn sasa
 
Hicho anachokieleza kwamba Mange "ataondoka" ni kuwazia mambo yasiyowezekana! Katika nyakati zetu ni lazima kuacha kutumia matisho kama zamani kwamba ukimfanya hivi dhidi ya dini utadhurika. Kama anamaanisha kuwa Yeye Sheikh na viongozi wenzie watamuomba Mungu ili "amupumzishe" Kimange hilo ni jambo ambalo Mungu hawezi kufanya kabisa! Labda kama kuna Mungu tofauti na tunayemjua wengine. Ningeelewa zaidi ikiwa angemuombea Mange maisha marefu na kujaliwa moyo Wa kutambua makosa yake na kutubu.

umeonaee sheikh mshari sana hata mi nlitegemea angebariki tu ili mange ajione mjinga, ila ndo kwanza anaitisha press amtishe
 
Hilo la kujipa nafasi ya kuhukumu, anyway... kwangu naona ni very complicated kuliko tunavyochukulia!!

Tusisahau, huyu sio mwanasiasa kwamba keshazoea kuoga matusi! Watu kama akina JPM wanafahamu kabisa kwamba kuoga matusi itakuwa ni sehemu ya maisha yao!!

Kinyume chake, huyu ni kiongozi wa dini... wala hana uzoefu wa kutukanwa hovyo hovyo tena bila sababu! Mbaya zaidi, ni mtu mzima! Halafu anaibuka mtu from nowhere na stori za uongo na kuanza kumwamgia matusi mazito mazito!!

Man, simuungi mkono suala la kuapiza lakini jaribu kuchukua nafasi yake! Nae ni binadamu... usitarajie eti kwavile ni kiongozi wa dini ndo basi wala haitamuuma kuambiwa mse'nge... tusi baya kuliko yote kwa mwanaume!

Suala la kumjibu Mange... naona ukisoma maoni ya watu wote yanaashiria kitu kile kile ambacho Sheikh amekisema! Kwamba, Mange anatumia matusi kama njia ya kuwatisha watu na kweli 99% ya watu wanamuogopa sana Mange kwa sababu tu ya kuogopa atawamwagia matusi!

Hatujui tu lakini ukweli ni kwamba Watanzania wapo vifungoni na aliyeshika funguo za Mahabusu ni Mange!! Na Mange hilo analifahamu ndo maana amejawa na kiburi kwa sababu tu anafahamu watu wanamuogopa kwa ajili ya matusi yake! Ni kwamba ameshapewa free pass ya "usimguse huyo... hivi unamjua vizuri wewe!!!"

Sheikh amegoma kuwa mfungwa!! Na amesema wazi kwamba watu walimuonya asimjibu kwa sababu atazidi kumwagiwa matusi! Sheikh Mkuu akagoma kuwa terrolized hata kama alifahamu haya yangetokea! Na kwenye Uislamu, kujitia unyonge wala sio sifa ya uchamungu!

Na hapa ndipo Waislamu wanapoonekana wakorofi manake kujitia unyonge kwao wala sio sifa!!
huyu shehe ni kama alicheza kamari kwa kumtisha Mange kuwa atakufa asipofunga mdomo wake ili atishike asiwatukane tena viongozi na anajua Mange ni muislam angeogopa....lakini kwa bahati mbaya ni kama amechochea moto kwenye kuni Mange ndio kazidi kumporomoshea matusi....inabidi awe mpole tu kama ni vita ameshashindwa
 
Kwanini mnapenda kumtetea mange ktk kila jambo? Ktk hili swala mange amekosea sana tena sana iwe sio shek iwe sio padri...yeye mange hana mamlaka wala chujio la kutuonyesha yupi shek na yupi padri....
7fa7712ea2dc75af16cf1b15622afc85.jpg
...hii ndio post ya mwanzo ya mange hapa alikuwa anataka kuaminisha watu kuwa shek yupo ktk siasa...wakati ukwel wa hio picha hao watu waccm wamekwenda ktk msiba wamekuta mashek wapo msibani hio sehem ya msiba aikuwa mbali na sehem zao za kampeni ..kukosea kwa Mange kunaanzia hapa kwanza
 
Christian! Saba mara sabini! Alhd musasalum! Jinokwajino! God help us!
 
nadhani huyu sheikh ataanza kufa yeye kabla ya mange... hata samuel sitta na kapt.john komba walitabiri lowassa atafia ikulu kuwa ni mgonjwa lakini wamekufa wao lowassa anadunda tuu.

sheikh Mungu hadhihakiwi....... sijui ni lini wewe umeanza kuamua urefu wa maisha ya wanadamu ??
 
..sheikh ubwabwa Na unafiki wake amelianzisha atalinywa....kumbe anashinda mitandaoni kusoma nani kaandika nini dhidi ya siasa za hovyo za ccm.....sasa amelazimishwa kujibu hoja za kujiingiza kwenye siasa....Na picha zinamhukumu....kama alivyowahukumu viongozi wengine wa dini.....Na hili la mange ndio amevuruga kabisa....maana mange atachimba uovu wake mpaka siku mbaya aliyomtabiria itakapofika.....Na isipofika itakua ndio kiama chake ....maana mange atamchamba mbaya sana...Na hata lolote likitokea kwa mange nalo halitamwacha salama....yani kwa kifupi sheikh ubwabwa huyu kalikoroga.....atalinywa....BTW HAPA kuna case pia ya kutishia uhai wa mtu...maana sheikh ametishia uhai wa mtu....amechukua nafasi ya Mungu ya kuhukumu.....hakuna dini inakubali hili......
 
Kwanini mnapenda kumtetea mange ktk kila jambo? Ktk hili swala mange amekosea sana tena sana iwe sio shek iwe sio padri...yeye mange hana mamlaka wala chujio la kutuonyesha yupi shek na yupi padri....
7fa7712ea2dc75af16cf1b15622afc85.jpg
...hii ndio post ya mwanzo ya mange hapa alikuwa anataka kuaminisha watu kuwa shek yupo ktk siasa...wakati ukwel wa hio picha hao watu waccm wamekwenda ktk msiba wamekuta mashek wapo msibani hio sehem ya msiba aikuwa mbali na sehem zao za kampeni ..kukosea kwa Mange kunaanzia hapa kwanza
Tatizo mkuu unafiki mwingi sana na siasa zimetawala ktk kila jambo...ila ili ni moja kati mabeef ya kijinga ya Mange na kupokea udaku bila ya kuchekecha na pia mange akubali makosa ila kwa ili anatype nafsi inamsuta amechemsha
 
Zama hizo ndiyo haikuwa mchezo mchezo kuwa kiongozi wa kidini siku hizi hata majambazi wanaukwaa tu
Deep in your heart you know that is not true!
Anyway nakuona umesha kuwa sold out!
Gd9t
 
Hapo ataanza kumrushia majini. Sasa mange ajipange vizuri ni Jina la Yesu maana hii ndo kiboko ya mijini na wachawi.

Wakristo hawana dini inayoeleweka lakini wameshikilia kitu chenye nguvu (JINA LA YESU) na hata masheikh na muft wanafahamu ukweli huu.
 
leo shehe wa watu halali,huku pu! kule pu!.....lol ,atakua alishinda Insta na jamiiforums leo,usiombee kusemwa mtandaoni,yatapita tu shehe,utaumia lakini utapona,time heals everything,yes with time,you will forget everything....pole sana.
 
Huyu sheikh hiyo michezo ya qaumu lut mbona ndo zakee!!tunajua sana Mimi niliambiwa na watu wake wa karibu haswaa!!
Umeambiwa kumbe...so mjaribu then utuletea evidence hapa iwe ya chartng or video..hayo maneno ya kuambiwa ambiwa sio mazur
Yaani huyu Dada simpendi kwa kweli kivuruge huwezi muita mtumishi wa MUNGU au yoyote ****** ana mamlaka gani kutukana hadharani kwa chuki za kisiasa pumbavu sana mtu asiishi anavyotaka kukiogopa king'onda kimoja kama kunguru
 
Utofauti wa viongozi wa kislam na kikatoliki unauona hapa.
Ingekuwa ni askofu katukanwa hivyo wala asinge hangaika kujibu.

Kusoma falsafa na theoloji inasaidia kutoshiriki kwenye ujinga

Na wewe unapayuka tu hatahujuwi unachosema ,Sema tofauti ya viongozi wa bakwata na wakikatoliki, sio viongozi wa Kislam we unafikiri uislam ungekuwa na viongozi zezeta kama hivyo ungetawala ulimwengu?
Uliwahi kumsikia Osama bin laden kasema atamroga Bush, kama anavyodai huyo eti atamroga Mangi kimambi huu ndio mwaka wake wa mwisho,
Anaficha neno kuroga anasema eti atashitaki kwa Allah, huyo Allah ni wa mchezo kiasi hicho, Uislam hauwezi kuongozwa na dizaini hizo,
We huwajuwi nini viongo wa kiislam,
 
Hapo ataanza kumrushia majini. Sasa mange ajipange vizuri ni Jina la Yesu maana hii ndo kiboko ya mijini na wachawi.

Wakristo hawana dini inayoeleweka lakini wameshikilia kitu chenye nguvu (JINA LA YESU) na hata masheikh na muft wanafahamu ukweli huu.
Hahahaha nimeenjoy
 
Back
Top Bottom