Haiendi hivyoKweli kabisa hizi albadili kama zinafanya kazi huwafuata waswahili tu bhana maana Israel inawatendaje Palestina na hao hao Palestina wanaisoma namba?
Sheikh nadhan leo hajalala kabisaMange kampa Tena, kampa papaa!
Sheikh alijua kwamba watu wataendelea kumpaka matope, na akasema hatajibishana naye tena!Aisee..kama mambo yanasemwa insta...dhidi ya huyu shekhe bac kuna tatizo kubwa sana.....
Hivi ndugu zetu waislamu nyie hayo mambo yaliyowekwa wazi huko inst dhidi ya huyu kiongozi wenu mlikua hamjui au??Manake ni kufuru tupu kwa kiongozi wa dini tena miongoni mwa dini zenye wafuasi wengi kuwa na kashfa nzito kama zile..watu wanatiririka tu kule.....
Bwakata waanzishe uchunguzi juu ya huyu jamaa...anawachafua sana waislamu....kiongozi mkubwa kama yule na yale makashfa bora angejiudhuru akaenda annual retreat hata Muscat huko.....
Zamani niliamini waislamu ni watu ambao hawataki mchezo hasa katika masuala yao ya dini..lkn kwa kashfa hizi za huyu jamaa....jinsi watu wanavyomlalamikia na bila shaka mlikua mnajua .....
Nadhani lengo la mtoa uzi,ni kuhusu masheikh waloko rumande.sasa unataka sheikh aingilie mahakama au aipaingie mahakama nn cha kufanya.Kwa sentensi chache niseme nionavyo mimi kuhusu hii "vita mpya" kati ya dada Mange na Sheikh mkuu Dar, Alhad Mussa Salum. Kwanza nieleze tu kuwa nauheshimu sana Uislamu kama navyoheshimu imani za watu wengine. Pia nawaheshimu viongozi wa kiislamu wakiwemo masheikh kama navyoheshimu viongozi wa imani na madhehebu mengine.
Lakini nadhani Sheikh Salum hakuwa na sababu ya kumjibu Mange. Kuna mambo ambayo tunategemea kuona Sheikh Mkuu wa mkoa akifanya, sio kufuatilia mambo ya instagram na kujibu. Tunategemea kuona akipambana kupigania haki za waislamu ktk namna itakayoleta matokeo chanya kwa waislamu na taifa kwa ujumla.
Tunategemea kumuona akiwasemea masheikh waliokamatwa miaka zaidi ya mitano iliyopita na mpaka leo wapo tu mahabusu bila kujua hatma yao. Aombe kesi zao zisikilizwe haraka (JPM anasema chapchap) ili kama wana hatia wahukumiwe, na kama hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani basi waachiwe HURU, kuliko kuendelea kuteseka tu mahabusu miaka zaidi ya mitano kwa madai kwamba upelelezi haujakamilika.
Hivi wakikaa mahabusu miaka 10 halafu bado ushahidi wa kuwatia hatiani usipatikane itakuaje? Au wakakaa mahabusu miaka 30 halafu wakaja kuachiwa huru kwa kuonekana hawana hatia itakuaje? Sheikh Salum haoni kama wenzake watakua wameteseka bila sababu? Sasa kwanini asiwasemee? Wanasheria wanasema "Justice delayed is justice denied", yani haki inayocheleweshwa ni haki iliyopotezwa.
Hawa masheikh wakiendelea kukaa mahabusu kwa miaka mingine zaidi na wakaja kukosekana na hatia it is justice denied. Ndio maana nilimpongeza Rais JPM alipomwambia Jaji Mkuu kwamba anapenda kuona kesi zikisikilizwa chapchap. Naamini na hii ya Masheikh itasikilizwa "chapchap" kama alivyoshauri Rais JPM (japo wameshasota miaka mingi sana ndani).
Je Sheikh Salum anajua kuna wenzie wanaoteseka huko magerezani? Wapo wanaodaiwa kudhoofika sana kiafya, wakiwemo akina Sheikh Fareed, Mselem na wengine. Nilitegemea kuona Sheikh Salum akipambana kwa ajili ya HAKI na USAWA kwa watanzania wote (wakiwemo masheikh walioko gerezani) na sio kupambana na Mange Kimambi. I stand to be corrected.!!
Malisa GJ
Utashangaa!Sheikh nadhan leo hajalala kabisa
JF ni kokorokumbe naye yuko jf
BAKWATA department ya CCM hatuitambui. Viongozi wanaotambuliwa na kuheshimika Sheikh Issa Ponda, Masheikh wa UAMSHO.Aisee..kama mambo yanasemwa insta...dhidi ya huyu shekhe bac kuna tatizo kubwa sana.....
Hivi ndugu zetu waislamu nyie hayo mambo yaliyowekwa wazi huko inst dhidi ya huyu kiongozi wenu mlikua hamjui au??Manake ni kufuru tupu kwa kiongozi wa dini tena miongoni mwa dini zenye wafuasi wengi kuwa na kashfa nzito kama zile..watu wanatiririka tu kule.....
Bwakata waanzishe uchunguzi juu ya huyu jamaa...anawachafua sana waislamu....kiongozi mkubwa kama yule na yale makashfa bora angejiudhuru akaenda annual retreat hata Muscat huko.....
Zamani niliamini waislamu ni watu ambao hawataki mchezo hasa katika masuala yao ya dini..lkn kwa kashfa hizi za huyu jamaa....jinsi watu wanavyomlalamikia na bila shaka mlikua mnajua .....
Aisee..kama mambo yanasemwa insta...dhidi ya huyu shekhe bac kuna tatizo kubwa sana.....
Hivi ndugu zetu waislamu nyie hayo mambo yaliyowekwa wazi huko inst dhidi ya huyu kiongozi wenu mlikua hamjui au??Manake ni kufuru tupu kwa kiongozi wa dini tena miongoni mwa dini zenye wafuasi wengi kuwa na kashfa nzito kama zile..watu wanatiririka tu kule.....
Bwakata waanzishe uchunguzi juu ya huyu jamaa...anawachafua sana waislamu....kiongozi mkubwa kama yule na yale makashfa bora angejiudhuru akaenda annual retreat hata Muscat huko.....
Zamani niliamini waislamu ni watu ambao hawataki mchezo hasa katika masuala yao ya dini..lkn kwa kashfa hizi za huyu jamaa....jinsi watu wanavyomlalamikia na bila shaka mlikua mnajua .....
Vuta subira mkuu DA MANGE atafunguka tu.Kwani huyu shehe Ana makandokando? Hebu funguka zaidi
Ni YakeMBONA KUNA SCREENSHOT INASAMBAA WHATSAPP IKIONESHA KUWA SHEHE KATUKANA MATUSI MAZITO???!!Au nayo fake?
Anataka kumloga au ni vipi mazeee.... Maana huo mkwara sio...
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni.
=====
Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao inayomuhusisha yeye kufanya kampeni ambayo yumo yeye na pembeni kuna mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia akila chakula pamoja na wenzake wa CCM. Amesema picha ilipigwa akiwa kwenye maziko ya Sheikh Masoud Ismail, amesema yeye ni kiongozi na mtu yeyote anaweza kupiga picha na yeye.
Amedai Mange Kimambi amekuwa akitukana viongozi mbalimbali kwenye Instagram na kusema pia alimtukana mufti wa Tanzania baada ya kuipongeza serikali na Rais John Magufuli.
Sheikh Alhad amesema ametukanwa kwa dhulma na uadui na kudai Mange anautumia ulimi na mikono yake vibaya kudhulumu watu(Heshima zao).
Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.
Amesema kuna watu walimpa rai asimjibu kwani atamtukana sana na kudai wao wanataka aendelee kutukana na hatasikia sauti yake baada ya leo ikimjibu na yeye andelee kutukana.
Alhad amesema hawezi kujiingiza kwenye kampeni ya kuipigia debe CCM, amesema CCM ina kawaida ya kualika viongozi wa dini na chama chochote kinaweza kumualika kwenye jambo lake. Amesema ajabu, picha zake ndio zinaanikwa lakini za viongozi wengine hazianikwi.
Katika hatua nyingine, Sheikh ameiambia NEC kuhusu JamiiForums ambao wameandika kwamba sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam: Hivi mnajua kama anafanya kampeni Kinondoni! Alhad amesema watachukua hatua za kisheria ili wathibitishe sheikh wa mkoa wapi amefanya kampeni, kwa kuhudhuria kwenye maziko au sababu ya picha!.
Juu ya tuhuma za Sheikh kushiriki siasa, soma => Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi
Hivyo kuhusu JamiiForums, wataona namna gani ya kushughulika nao kisheria na wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine, wajiingiza katika jambo hilo kichwa kichwa bila kulijua ili kuvunja heshma zao.
Una uhakika gani?Ni Yake
Kesi ya Deo Kisandu, bado haijaisha!Sio kila mtu yupo ig ingependeza kama hayo matusi ya mange yangepandishwa hapa. Sheikh has stooped to a new low kujibizana na Mange