DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Ambao huwa hatuendi nchi ya Insta tunakosa mengi, ngoja nifanye mpango wa kupata passport mpya ya kielektroniki.
 
Utaratibu wao hauna tofauti sana na ule wa chama1
Ni zaidi ya ule,, sijuwi wanachaguliwa muda gn,, nadhani ingekuwa wachaguliwe kwa kura za waislam, na sio pendekezo LA SERIKALI
 
Amchambe tu amekosa kazi za kufanya anaita press kujibu mambo ya insta.
 
S
Lusekelo alitoa matamko kwa waandishi wa habari kuwa watakufa ila hadi leo hakuna aliyekufa mbaya sana naye mwenyewe hajaenda kuuza gongo kama alivyoahidi.

Shekhe naye kaingia mkenge ule ule wa Mzee shekhe Yahya,.

Yaani, daima siasa uchwara mbuzi zitakutokea puani tu ukijiingiza bila kufata principles.

Tunasubiria mwisho wa Mange kimambi ndani ya hii 2018.
Ila akivuka hadi 2019 sijui majibu yake kwa shekhe yatakuwa ni nini hasa!? Shekhe ajiandae kupata aibu za daima pale Miss. Kimambi atakapo toboa hadi 2019

Any way, Shekhe na hadhi yake kwa dini na hapo nchini siyo mtu wa kujibizana na Mangi Kimambi.
Subirini muone.... Time wll tell
 
Kaka labda nikupe elimu ambayo huijui tafadhal kuwa makini nisikilize.
BAKWATA sio chombo cha waislamu na haitawahi kuwa kwa sababu hakikuundwa na waislamu. Mfano mzur nikuulize tu, hivi inawezekana vipi wakristu muundiwe baraza na serikali tena inayojinasibu kwamba haina dini?

Hii kitu ina historia ndefu kidogo nyuma ktk vuguvugu la uhuru, ikumbukwe wakat wa kupigania uhuru baadhi ya wazee wengi wa DSM walihusika na ukomboz wa nchi yetu then kilichokuja kutokea ni kugeukana miongoni mwao baadae. Yaan hawakushirikishwa ktk matunda ya uhuru, ikumbukwe DSM ilikua na wazee wengi ambao ni waislam wakaanza kuonesha hasira zao kwa serikal ya Nyerere wakiona km amewageuka hawakumbuk tena ktk uongoz wake. Nyerere alichokifanya ni kitu simple tu "divide and rule" akawaundia BAKWATA akiwataka waislam ku-obey hcho chombo na serikali itacomply tu kile kiongeacho na BAKWATA. Hapo ndio utata ulipoanza, wengine wakakubal wngne wakakataa.

Hicho chombo kina mkono mkubwa wa serikal, km mfuatiliaji wa siasa za nchi hii utakubaliana na mm kwamba kiko pale kwa manufaa ya wachache na ndio maana muislam unayejielewa huwez kukubal kutawaliwa na BAKWATA. Wao kaz yao ni kutafuta aya na hadith znazowapa favour kwao ila co umma wa kiislamu.

Hivi BAKWATA ingekua chombo cha kiislam kingeshindwa walau kuhoji uhalali wa masheikh wa uamsho kuwa rumande hadi leo tena kwa kesi nyepesi namna ile?

Kwahyo ndugu yangu kuhusisha uislam na BAKWATA ni kutukosea bora tu utuache uizungumzie km tawi la CCM na shirika la serikali.
Nimekuelewa sana mkuu ...tatizo linakuja ...BAKATWA imeundwa kwa sheria gani?Na kama hamna sheria kwa nn Waislamu wengine msijiunge kwa uwazauwazi mkapingana na BAKWATA...sababu unasema Bakwata haiwakilishi waislamu wakati huohuo wao wanajitangaza na wanaoperate kama chombo halali kabisa cha waislamu.....Kwa nn msiisusie Bakwata waziwazi..au mkaipinga kwa hoja kwa mijadala au mkaenda hata mahakamani ili mahakama itangaze kuwa Bakwata haiko kwa ajili ya waislamu na muombe mahakama iwaruhusu kuunda chombo kingine ambacho kitakidhi vigezo vyenu kama mnavyodai....

Mkuu kwa hii issue ni sawasawa na mtu una mke, mnalala kitanda kimoja, mnaenda wote kwenye sherehe mbalimbali, anasimama na kusema kwa niaba yako.....Then unawaambia watu unajua huyu mwanamke sio mke wangu..nipo tu naishi nae....lkn sio mke wangu....mke wangu yupo.....Haaa..mpe taraka bac..
Na nyie hivohivo Hiyo Bakwata ipeni taraka.....amasivyo hao viongozi wake wenye hayo makashfsa wanawachafua wote aisee...
 
Hii thread inapoteza utamu bila takwimu na majedwali mbalimbali toka kwa wahusika...
Mwenye taarifa kamili aweke humu tujionee.
 
Nafahamu ndugu Yangu
Ustaarabu huwa unatafutwa kwa udi na uvumba
Mtu huvuna apandacho
Sasa wewe uanze kunyosheana vidole na mitusi kwa wakuu wa dini kisa kufurahisha kadamnasi!
Eeh Mola wangu nipitishe katika njia ya kukupendeza kwa ajili ya kizazi changu na taifa langu!
Nimefuatilia sana thread zako zimejaa unafiki,wanadamu wanaofurahia mwanadam mwenzio kupigwa risas hata kama ni viongozi wa dini hawafai kusujudiwa
 
Huyo sheikh mnafiki sana,, yaani ni katika watu ambao wananikera sana tangu siku nyingi sana...
 
Maisha haya nyie acheni tuu

Unaweza kukwepa kutibiwa na dokta shika afu ukaenda kuombewa na nabii Tito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

By dada mange

Na mimi nasema halafu ufundishwe na mtemi deo kisandu
 
Maisha haya nyie acheni tuu

Unaweza kukwepa kutibiwa na dokta shika afu ukaenda kuombewa na nabii Tito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

By dada mange
Na mimi nasema halafu ufundishwe na mtemi deo kisandu
 
Nimefuatilia sana thread zako zimejaa unafiki,wanadamu wanaofurahia mwanadam mwenzio kupigwa risas hata kama ni viongozi wa dini hawafai kusujudiwa
Naona hunielewi kwa sasa lakini iko siku utanielewa, hakuna mwalimu mzuri kama DUNIA!
 
Naona shehe anataka kupambana na mzinga wa nyuki, kaingia 18 za Mange ....mi simooooooooooo
Msimpe tu kichwa hii dunia ndogo saana nyiny nyiny mnao mpa sapoti mange IPO siku mtasema ulikuwa ujinga wake wenyewe kuingiria faragha ya mtu kisheria ni kosa.Mange asijifanye yuko state hapo watu wana uwezo wa kumfukunyua hapo hapo alipo sema watu hawana tym nae ILA TIME WILL TELL US
 
Back
Top Bottom