DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Nimekuelewa sana mkuu ...tatizo linakuja ...BAKATWA imeundwa kwa sheria gani?Na kama hamna sheria kwa nn Waislamu wengine msijiunge kwa uwazauwazi mkapingana na BAKWATA...sababu unasema Bakwata haiwakilishi waislamu wakati huohuo wao wanajitangaza na wanaoperate kama chombo halali kabisa cha waislamu.....Kwa nn msiisusie Bakwata waziwazi..au mkaipinga kwa hoja kwa mijadala au mkaenda hata mahakamani ili mahakama itangaze kuwa Bakwata haiko kwa ajili ya waislamu na muombe mahakama iwaruhusu kuunda chombo kingine ambacho kitakidhi vigezo vyenu kama mnavyodai....

Mkuu kwa hii issue ni sawasawa na mtu una mke, mnalala kitanda kimoja, mnaenda wote kwenye sherehe mbalimbali, anasimama na kusema kwa niaba yako.....Then unawaambia watu unajua huyu mwanamke sio mke wangu..nipo tu naishi nae....lkn sio mke wangu....mke wangu yupo.....Haaa..mpe taraka bac..
Na nyie hivohivo Hiyo Bakwata ipeni taraka.....amasivyo hao viongozi wake wenye hayo makashfsa wanawachafua wote aisee...

Mkuu hili ni suala la imani na imani inatoka rohoni. Uislamu una nguzo zake ma misingi yake pia. Yanini uhangaike sijui mahakaman, sijui wap kwa ajili gan na kwa faida ya nani? Ktk suala la nabii tito kuna mkristu alienda mahakaman kumpinga si mpaka serikal ilipoona anakiuka misingi sijui ya imani hyo? Waislam tumeashaambiwa ukitaka kuingia pepon fanya haya na haya, fuata quran na sunna ndio kama "marking scheme yetu" so mwanadam hawez tena kupoteza muda kwenda mahakaman, mahakama ambazo wanaongoza waliounda hcho chombo.
Halafu hivi kaka ikiwa ni chombo cha serikal, ni muislam gan atanyanyua mguu wake kwenda mahakaman.
 
Mkuu hili ni suala la imani na imani inatoka rohoni. Uislamu una nguzo zake ma misingi yake pia. Yanini uhangaike sijui mahakaman, sijui wap kwa ajili gan na kwa faida ya nani? Ktk suala la nabii tito kuna mkristu alienda mahakaman kumpinga si mpaka serikal ilipoona anakiuka misingi sijui ya imani hyo? Waislam tumeashaambiwa ukitaka kuingia pepon fanya haya na haya, fuata quran na sunna ndio kama "marking scheme yetu" so mwanadam hawez tena kupoteza muda kwenda mahakaman, mahakama ambazo wanaongoza waliounda hcho chombo.
Halafu hivi kaka ikiwa ni chombo cha serikal, ni muislam gan atanyanyua mguu wake kwenda mahakaman.
Daa...poleni sana kwa hiyo changomoto...bila shaka yanamwisho haya.....
 
Dua za wanafiki Mungu huwa hazipokei,anachofanya ni kujibaraguza tu anajua kabisa yeye ni mtetezi na kampeni meneja wa CCM,
Hiyo iko wazi Aache unafiki
 
Alimtishia mange albadir ili mange asije kusema machafu yake mengine zaidi ya kuchanganya dini na siasa. Sasa ndio anamwaga machafu yake yote hadharani bila kubakiza hata moja.
Ogopa saana mwanamke anaeish kwa talaka alafu katika nchi za watu full stress muda wote yaan atataka kila mtu aharibikiwe kama yeye alivyoharibikiwa

Na huwa hawana woga kabisa hv kwa akili zako uko zako state unaweza pata muda wa kuwa bize IG haaaaahaaaahaaaaaaa
Ukiwa muoga katika maisha yako mtu anaweza kukwambia shoga na ukakubali
 
Hapo ataanza kumrushia majini. Sasa mange ajipange vizuri ni Jina la Yesu maana hii ndo kiboko ya mijini na wachawi.

Wakristo hawana dini inayoeleweka lakini wameshikilia kitu chenye nguvu (JINA LA YESU) na hata masheikh na muft wanafahamu ukweli huu.
Katika hili wapo wengi watamuombea kwa jina hili na infact yeye mwenyewe aliwahi kuonyesha message 1 ya mtu ambaye alisema na ni kiongozi wa dini na anamuombea sana maana yeye hana pa kusemea ila alisema aacha matusi!!!
 
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Al Haji Mussa Salimu amjibu mwanadada maarufu mtandaoni Mange Kimambi asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi. [HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]
Yeye mungu asijipe cheohicho kwa kipialicho mtendea mungu labda atumie majeshi ya duniani namkumbusha firauni alikuwa zaidi ya yeye aliuwa watu wengi sana kuliko yeye Leo yupo wapi hatayeye atatumia washirika wake lakini atambue atapita tu dunia ataiacha apiganie wapenda haq wamo gerezani mungu atamjalia sio kutoa muda kwa mtu ambae hakumuumba yeye amuachie mungu ndio mwenyekazi ya kuhumu sio yeye mwenyedam kama mimi
 
Huyu shehe kajitakia!

Hivi mtu na akili zako unakaa una mjibu Mange?

Kipindi flani gazeti la mwanahalisi lilikuwa likimshambulia sana askofu Malasusa kwamba amezaa na mke wa mtu!

Watu wengi tulichokuwa tunashangaa vipi gazeti kubwa kama lile linaandika habari za udaku?

Malasusa hakuwahi kupanua mdomo wake kumjibu Kubenea na kagazeti kake, na ile ikaendelea kuwa Kubenea ni mjinga tu, maana unamchokoza mtu alafu hakujibu mwishowe unaonekana mjinga na itabidi utulie tu kwa aibu.
 
sheikh atakuwa haonekani tena msikitini, ataficha wapi aibu yake?kumbe shee kazi yake kufira na kuiba wake za watu, ukigombana na Mange ni kama umegombana na watu zaidi ya 1000 kwa uchache ambao wanakufahamu vizuri,
 
Wewe unajua anakotokea Lipumba? Usimuone mwepesi! Kamuulize Maalim Seif anajua songombingo za jamaa.
Aaaah huyo lipumba achana nae huko kwao uyui yaani kale kamtaa ka nyumbani kwao hapo panaogopwa sio mtoto wala mzee wote maninja hatari sasa huyo lipumba hapo kabeba mavitu mazito mpaka na akili imemluka
 
Sheikh alivyohamaki tangu mwanzo nilijua kuna 'makandokando anayaficha', ila sasa mambo hadharani!
 
Duh;
Naona kama vile Yule Sheikh wetu anamwambia Da Mange Please Hide my ID.

Hivi lakini mbona naona kama kuna mambo fulani hayako sawa kwa huyu sheikh.Sasa kweli anataka Da Mange amtetee kweli?Au anatafuta kiki kwa pikipiki au kuna mambo mengine anaogopa tusijiue

Anyway

Da Mange Please Hide My ID

Pole Alhaji

Usijali ndio maisha yalivo


Shehe kayaoga ya kutosha!

Na akichanganya zaidi anaweza kimbia ushehe!
 
Back
Top Bottom