DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Samahani nasema tatizo lipo kwa waislamu wenyewe. Wanayajua matatizo yao lakini wameruhusu wanafiki kuwaongoza huyu Sheikh Tito hafai jamani. Kwa nini hata wasimpe kaka Sheikh Kipoozeo.

We ndio unashindw kuelewa kuwa bakwata ni ccm so sheikh mwenye mlengo tofaut nao hawez kupewa cheo. Kipozeo, ponda, othman maalim na wengne wengi wenyew ni Anti-bakwata.
 
Ayaa... kumbe shekhe una akaunti insta!? kama ni hivyo na unafuata mambo ya mtandao hutufai hata kuwa imamu!
 
Manake nimeshangaa sheikh mzima kujiingiza kwenye mambo ya instagram na kuchukua nafasi ya polisi! Nahisi he is not clean, siyo kwa kujihami vile
Muda ndo shahidi mzuri mkuu. Tutajuw tu!!!
 
Hivi kwani kuna UTARATIBU GN UNATUMIKA kuwapata hawa NASHEHE WETU wa BAKWATA? nadhani kuwe na KIKOMO na isiwe Kama ni UFALME. wanajisahau sn hawa. SHUBAMIT
 
Mi niende tofauti kidogo na malisa mwanzo kama alitaka kueleza vita ya ugomvi kati ya mange na shehe sasa umejikita ktk kuongelea masuala ya mashehe walioko mahabusu vina uhusiano gani bifu la mange na huyo shehe wa mkoa?
 
naye huyu shehe bhna hamnazo, yaan kaamua kujibu hoja za kwene mitandao, kiongozi wa dini angetulia tu nae, mbona wanasemwa wengi yy anajitrtea dhidi ya mitandao ili iweje sasa
 
Mange anammaliza Sheikh huko insta!
Mkuu Slim sheikh kaachwa uchiiiii yaani nyeti zake zimeanikwaaaa dah aibu sana kweli acha Mungu aitwe Mungu kilo tufanyalo kwa siri ipo siku ya kuaibika kama si duniani basi mbele ya kiti cha hukumu kwa Mungu
 
naye huyu shehe bhna hamnazo, yaan kaamua kujibu hoja za kwene mitandao, kiongozi wa dini angetulia tu nae, mbona wanasemwa wengi yy anajitrtea dhidi ya mitandao ili iweje sasa
Alimtishia mange albadir ili mange asije kusema machafu yake mengine zaidi ya kuchanganya dini na siasa. Sasa ndio anamwaga machafu yake yote hadharani bila kubakiza hata moja.
 
Back
Top Bottom