Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
KAMA KWELI YALE MATUSI NI YA SHEHE MTU WA DINI,BASI HAFAI KUONGOZA TAASISI YA DINI.NAMALIZIA KUSEMA NAE NI MUHUNI TU KAMA WAHUNI WENGINE WA MAGOMENI,MANZESE NA TANDALE.Ni Yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA KWELI YALE MATUSI NI YA SHEHE MTU WA DINI,BASI HAFAI KUONGOZA TAASISI YA DINI.NAMALIZIA KUSEMA NAE NI MUHUNI TU KAMA WAHUNI WENGINE WA MAGOMENI,MANZESE NA TANDALE.Ni Yake
Manake nimeshangaa sheikh mzima kujiingiza kwenye mambo ya instagram na kuchukua nafasi ya polisi! Nahisi he is not clean, siyo kwa kujihami vileVuta subira mkuu DA MANGE atafunguka tu.
Kama si yake sasa itakuwa ni ya nani?unafikiri sema tu ameomaba wafiche ID yakeUna uhakika gani?
Samahani nasema tatizo lipo kwa waislamu wenyewe. Wanayajua matatizo yao lakini wameruhusu wanafiki kuwaongoza huyu Sheikh Tito hafai jamani. Kwa nini hata wasimpe kaka Sheikh Kipoozeo.
Mh Itakuwa uchochezi,Weka hiyo sikirinishoti.
Kwani huyu shehe Ana makandokando? Hebu funguka zaidi
Muda ndo shahidi mzuri mkuu. Tutajuw tu!!!Manake nimeshangaa sheikh mzima kujiingiza kwenye mambo ya instagram na kuchukua nafasi ya polisi! Nahisi he is not clean, siyo kwa kujihami vile
Hamjaelewaa...Nimeshaona mkuu.
Shehk kafanya kosa kumjibu huyu dada,angekaa kimya tuu ili kulinda heshima yake.
safi sn na life tuuSheikh amevuliwa nguo amebaki uchii km alivozaliwaa, ni hatari sana, asipowahi kumuomba msamaha Mange basi atazidi kuumbuka na huenda yy Ndio hataumaliza huu mwaka atakufa kwa depression!
Mkuu Slim sheikh kaachwa uchiiiii yaani nyeti zake zimeanikwaaaa dah aibu sana kweli acha Mungu aitwe Mungu kilo tufanyalo kwa siri ipo siku ya kuaibika kama si duniani basi mbele ya kiti cha hukumu kwa MunguMange anammaliza Sheikh huko insta!
Alimtishia mange albadir ili mange asije kusema machafu yake mengine zaidi ya kuchanganya dini na siasa. Sasa ndio anamwaga machafu yake yote hadharani bila kubakiza hata moja.naye huyu shehe bhna hamnazo, yaan kaamua kujibu hoja za kwene mitandao, kiongozi wa dini angetulia tu nae, mbona wanasemwa wengi yy anajitrtea dhidi ya mitandao ili iweje sasa