choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Nimekuelewa sana mkuu ...tatizo linakuja ...BAKATWA imeundwa kwa sheria gani?Na kama hamna sheria kwa nn Waislamu wengine msijiunge kwa uwazauwazi mkapingana na BAKWATA...sababu unasema Bakwata haiwakilishi waislamu wakati huohuo wao wanajitangaza na wanaoperate kama chombo halali kabisa cha waislamu.....Kwa nn msiisusie Bakwata waziwazi..au mkaipinga kwa hoja kwa mijadala au mkaenda hata mahakamani ili mahakama itangaze kuwa Bakwata haiko kwa ajili ya waislamu na muombe mahakama iwaruhusu kuunda chombo kingine ambacho kitakidhi vigezo vyenu kama mnavyodai....
Mkuu kwa hii issue ni sawasawa na mtu una mke, mnalala kitanda kimoja, mnaenda wote kwenye sherehe mbalimbali, anasimama na kusema kwa niaba yako.....Then unawaambia watu unajua huyu mwanamke sio mke wangu..nipo tu naishi nae....lkn sio mke wangu....mke wangu yupo.....Haaa..mpe taraka bac..
Na nyie hivohivo Hiyo Bakwata ipeni taraka.....amasivyo hao viongozi wake wenye hayo makashfsa wanawachafua wote aisee...
Mkuu hili ni suala la imani na imani inatoka rohoni. Uislamu una nguzo zake ma misingi yake pia. Yanini uhangaike sijui mahakaman, sijui wap kwa ajili gan na kwa faida ya nani? Ktk suala la nabii tito kuna mkristu alienda mahakaman kumpinga si mpaka serikal ilipoona anakiuka misingi sijui ya imani hyo? Waislam tumeashaambiwa ukitaka kuingia pepon fanya haya na haya, fuata quran na sunna ndio kama "marking scheme yetu" so mwanadam hawez tena kupoteza muda kwenda mahakaman, mahakama ambazo wanaongoza waliounda hcho chombo.
Halafu hivi kaka ikiwa ni chombo cha serikal, ni muislam gan atanyanyua mguu wake kwenda mahakaman.