DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Ni kweli mkuu hayo uliyoyazungumza ni ndoto na tamaa ya kila muislamu kuskia kesi ya mashekh wazanzibar sio tu inasikilizwa lakini wanaachiwa huru kwa kutokutwa na hatia.

Ima hilo la kumsikia Alhad akizungumza juu ya mateso wanayokutaana nayo wenzie, miaka miambili hutomsikia hata siku moja, na wala sio katika matarajio ya wengi kulisikia hilo.

Alhad ni katika wanufaika wajuu kabisa wa mfumo huu wa tawala za CCM hapo ndipo mkate wake wa kila siku ulipo, huwezi kuskia akienda kinyume na wanaompa mkate wake.
 

Yule jamaa ana laana kum
 
Mi niende tofauti kidogo na malisa mwanzo kama alitaka kueleza vita ya ugomvi kati ya mange na shehe sasa umejikita ktk kuongelea masuala ya mashehe walioko mahabusu vina uhusiano gani bifu la mange na huyo shehe wa mkoa?
Yaani ni point tu imeslide mzee amejikuta ameenda kuelezea majukumu ambayo anapaswa shekh ayasimamie ila yote kwa yote nadhani umemuelewa
 
Aisee nimeingia InstaMange huko ni soo! Kama yaliyoandikwa ni kweli basi huyo sheikh ni hovyo. Hovyo sana.
Waisamu mpingeni kwa nguvu zote ikibidi kwa panga pia!
 
Hii vita sheikh ameitafuta ameichangamsha lakini kumbe hana silaha. Sasa adui wanamshambulia hadi na michanga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mange Kimambi sio wa kujibizana nae kabisa. Ukitaka kuanikwa tabia zako mbovu zote chokoza yule dada. Haikufaa sheikh kujibu chochote. Nimemtoa thamani kabisa kusikia hayo ayafanyayo kama ni kweli basi sio mtu mstaarabu kabisa.
 
Shehe umekuja huku pia?
 
Halafu ana followers wanaompa kila kisichojulikana na wengine

Ukishakuwa karibu na lile jamaa lenye ulimi mzito wanaliitaga bashite basi lazma siku uchafuke na sio kuchafuka tuu utaonekana kiazi
 
Mange anammaliza Sheikh huko insta!
Pale kama ni kweli hakuna shehe pale kuna shekuna.Yaanu hata mimi Nina nafuuu,shehe acha ngazi unaichafua dini ya Allah,nahisi na nguruwe unakula na hata ngada huenda ni muda.Shehe,shehe,shehe! Nimekuita mara ngapi? Shehe jiuzulu na ukatubu.Shehe kweli huna hirizi kiunoni kweli? Namkumbuka shehe Amiri.
 
Sheikh au Mchungaji ukiwa na njaa na kichwani hewa ni shida tupu!
 

Kama ana akili kweli zimetimia asingemjibu kabisa Mange Kimambi. Ila kwa kuwa ukweli umemuuma ndio maana kakurupuka. Sio siri kuwa sheikh na BAKWATA ni kama tawi tu la CCM. Kwani hatuoni jamani. Hebu msitufanye sisi vipofu. Hao watu tunaishi nao majumbani mwetu, mitaani kwetu wengine ni sehemu ya familia zetu. Tunawajua wayatendayo sana tu. Msijaribu kutetea ukweli wa mchana kweupe . BAKWATA na CCM ni marafiki wa chanda na pete.
 
Yani huko Kwa da mange kumechimbikaaaa ni balaa.Hakika shekhe ataomba poo.
Huyu dada hakopeshi
 
shekh unatakiwa usamehe sio kuhukumu
Aliemshauri asimjibu alikuwa akimtakia mema,hbr za mitandaoni ukizijibu ndo zinazidi kukushushia heshima. Watu km wale sio wa kujibizana nao.
 
Toka alipoanza kujipendekeza kwa wanasiasa nilijua siyo msafi.Alipoanza Kawasaliti kondoo wake nilijua siyo mtetezi wa wanyonge,wahubiri wenzake wakakamatwa,wakateswa wakatendewa vibaya hilo halikumpa shida.Kutwa kucha yuko na wale wajiitao wababe wa Vita na wasiojaribiwa,akila vinono na kusaza.Nyeusi akiitwa nyeupe watu wake wakashangaa,hivi kweli ndiyo yeye? Sasa ni kama meli Katika pembetatu ya Bermuda,kaptura lake limemdondoka yamfaa kuchutama kwanza huku akisikilizia aliyemuokotea ampelekee.Je,atamudu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…