DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Yaani ni point tu imeslide mzee amejikuta ameenda kuelezea majukumu ambayo anapaswa shekh ayasimamie ila yote kwa yote nadhani umemuelewa
Hapana mkuu hilo suala ni la bakwata kuruhusu ccm wawateke Huwez kulikuta ktk dini zingine lazima ungesikia vuguvugu
 
Naomba mange mumfanye kichaaaa itakuwa inapendeza zaidi
 
Nadhani lengo la mtoa uzi,ni kuhusu masheikh waloko rumande.sasa unataka sheikh aingilie mahakama au aipaingie mahakama nn cha kufanya.
True!
Kwanza hamna vita!
Tamko limesha pelekwa jana, yamekwisha!
Sasa ni kaaazi kweli kweli
 
Sheikh TITO NI ZAIDI ya noma. MangeKimambi ni zaidi ya Dr. Remmy enzi za Super Matimila ambapo Mambo kwa soksi ilikuwa ni hatari kusikika redioni
 
Ila ana moyo kama anasoma zile post zote kuhusu yeye kule kwa le dadaz duh! Lakini mbona hasemi kama kweli au si kwelii
 
Nakumbuka maneno ya Askofu Zacharia Kakobe kuwa makubwa Sana
[HASHTAG]#kiongozi[/HASHTAG] usitishike na nzi anaye kusumbua usoni ukiwa unaendesha gari utawapoteza watu.
Fanya kazi ya Mungu
 
S

Subirini muone.... Time wll tell

kipusy,
Mkuu,
Shekhe atafanya nini sasa!?

Ataenda USA kumuua?

Atasoma visoma uchwara mbuzi ambavyo vimeshindwa kukamata watesi wa Lisu!?

Hivyo visomo ni sawa kabisa na "Dua la kuku halimpati mwewe "
Kuku anapiga dua huku mwewe ananona kwa vifaranga wa kuku aliyekazana kuomba dua mbaya kwa mwewe.

Sikia, Mange kimambi anatumia public figure yeyote yule ili apate wafuasi Instagram na social media platform yoyote ile ili apige hela kwa kuwa na followers .


Any way, its a wrong move for Shekhe to argue with Kimambi. Period.

Wenye akili wananielewa nilichoandika hapo juu kuhusu huyo kiongozi kufanya argument na Kimambi.
 

Msichezee imani za watu, subirini muone. Kuna visomo kaka wewe au sijui dada wewe au ndio mange mwenyewe. Usicheze na Qur’an! Huyo Mange Sio kama atakufa ila ataacha kutukana Watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…