DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Yaani ni point tu imeslide mzee amejikuta ameenda kuelezea majukumu ambayo anapaswa shekh ayasimamie ila yote kwa yote nadhani umemuelewa
Hapana mkuu hilo suala ni la bakwata kuruhusu ccm wawateke Huwez kulikuta ktk dini zingine lazima ungesikia vuguvugu
 
d1862ab57244105848960bd2542900bb.jpg
Mtu kama huyu unaachwaje?
 
Nadhani lengo la mtoa uzi,ni kuhusu masheikh waloko rumande.sasa unataka sheikh aingilie mahakama au aipaingie mahakama nn cha kufanya.
True!
Kwanza hamna vita!
Tamko limesha pelekwa jana, yamekwisha!
Sasa ni kaaazi kweli kweli
 
Toka alipoanza kujipendekeza kwa wanasiasa nilijua siyo msafi.Alipoanza Kawasaliti kondoo wake nilijua siyo mtetezi wa wanyonge,wahubiri wenzake wakakamatwa,wakateswa wakatendewa vibaya hilo halikumpa shida.Kutwa kucha yuko na wale wajiitao wababe wa Vita na wasiojaribiwa,akila vinono na kusaza.Nyeusi akiitwa nyeupe watu wake wakashangaa,hivi kweli ndiyo yeye? Sasa ni kama meli Katika pembetatu ya Bermuda,kaptura lake limemdondoka yamfaa kuchutama kwanza huku akisikilizia aliyemuokotea ampelekee.Je,atamudu?
Sheikh TITO NI ZAIDI ya noma. MangeKimambi ni zaidi ya Dr. Remmy enzi za Super Matimila ambapo Mambo kwa soksi ilikuwa ni hatari kusikika redioni
 
Ila ana moyo kama anasoma zile post zote kuhusu yeye kule kwa le dadaz duh! Lakini mbona hasemi kama kweli au si kwelii
 
Nakumbuka maneno ya Askofu Zacharia Kakobe kuwa makubwa Sana
[HASHTAG]#kiongozi[/HASHTAG] usitishike na nzi anaye kusumbua usoni ukiwa unaendesha gari utawapoteza watu.
Fanya kazi ya Mungu
 
S

Subirini muone.... Time wll tell

kipusy,
Mkuu,
Shekhe atafanya nini sasa!?

Ataenda USA kumuua?

Atasoma visoma uchwara mbuzi ambavyo vimeshindwa kukamata watesi wa Lisu!?

Hivyo visomo ni sawa kabisa na "Dua la kuku halimpati mwewe "
Kuku anapiga dua huku mwewe ananona kwa vifaranga wa kuku aliyekazana kuomba dua mbaya kwa mwewe.

Sikia, Mange kimambi anatumia public figure yeyote yule ili apate wafuasi Instagram na social media platform yoyote ile ili apige hela kwa kuwa na followers .


Any way, its a wrong move for Shekhe to argue with Kimambi. Period.

Wenye akili wananielewa nilichoandika hapo juu kuhusu huyo kiongozi kufanya argument na Kimambi.
 
kipusy,
Mkuu,
Shekhe atafanya nini sasa!?

Ataenda USA kumuua?

Atasoma visoma uchwara mbuzi ambavyo vimeshindwa kukamata watesi w lisu!?

Hizo ni Sawa na dua la kuku huku mwewe ananona kwa vifaranga wa kuku muomba dua mbaya kwa mwewe.

Sikia, Mange kimambi anatumia figure yeyote ile ili apate wafuasi Instagram na social media platform yoyote ile ili apige hela kwa kuwa na followers .


Any way, its a wrong move for Shekhe to argue with Kimambi. Period.

Msichezee imani za watu, subirini muone. Kuna visomo kaka wewe au sijui dada wewe au ndio mange mwenyewe. Usicheze na Qur’an! Huyo Mange Sio kama atakufa ila ataacha kutukana Watu.
 
Back
Top Bottom