MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Sheikh wa Mkoa Uleeee..
Kwa hakika yupo MTUPU kabisa.
Kwa hakika yupo MTUPU kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu hilo suala ni la bakwata kuruhusu ccm wawateke Huwez kulikuta ktk dini zingine lazima ungesikia vuguvuguYaani ni point tu imeslide mzee amejikuta ameenda kuelezea majukumu ambayo anapaswa shekh ayasimamie ila yote kwa yote nadhani umemuelewa
Shehe mzima anatukanana na kibinti kwenye mitandao ya kijamii, ni aibu kabisa kwa huyu sheheSheikh wa Mkoa Uleeee..
Kwa hakika yupo MTUPU kabisa.
Mtu kama huyu unaachwaje?
True!Nadhani lengo la mtoa uzi,ni kuhusu masheikh waloko rumande.sasa unataka sheikh aingilie mahakama au aipaingie mahakama nn cha kufanya.
Asalaleeee
Sheikh TITO NI ZAIDI ya noma. MangeKimambi ni zaidi ya Dr. Remmy enzi za Super Matimila ambapo Mambo kwa soksi ilikuwa ni hatari kusikika redioniToka alipoanza kujipendekeza kwa wanasiasa nilijua siyo msafi.Alipoanza Kawasaliti kondoo wake nilijua siyo mtetezi wa wanyonge,wahubiri wenzake wakakamatwa,wakateswa wakatendewa vibaya hilo halikumpa shida.Kutwa kucha yuko na wale wajiitao wababe wa Vita na wasiojaribiwa,akila vinono na kusaza.Nyeusi akiitwa nyeupe watu wake wakashangaa,hivi kweli ndiyo yeye? Sasa ni kama meli Katika pembetatu ya Bermuda,kaptura lake limemdondoka yamfaa kuchutama kwanza huku akisikilizia aliyemuokotea ampelekee.Je,atamudu?
Aisee kumbe huyu bwana ana akili za hovyo hivi?Mtu kama huyu unaachwaje?
Ila angeandika kingereza wala isingekuwa na ukakasi kabisaMtu kama huyu unaachwaje?
itafuatana na alieusoma ujumbe sio wote mambumbumbu kama unavyofikiriaIla angeandika kingereza wala isingekuwa na ukakasi kabisa
S
Subirini muone.... Time wll tell
kipusy,
Mkuu,
Shekhe atafanya nini sasa!?
Ataenda USA kumuua?
Atasoma visoma uchwara mbuzi ambavyo vimeshindwa kukamata watesi w lisu!?
Hizo ni Sawa na dua la kuku huku mwewe ananona kwa vifaranga wa kuku muomba dua mbaya kwa mwewe.
Sikia, Mange kimambi anatumia figure yeyote ile ili apate wafuasi Instagram na social media platform yoyote ile ili apige hela kwa kuwa na followers .
Any way, its a wrong move for Shekhe to argue with Kimambi. Period.