DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Huyu nae anajishushia heshima tu,angekuwa kimya angepungukiwa nini? Anatukanwa Rais na mange sembuse yeye kiongozi wa kiimani tu!
Sasa Ona alivyo zidi kuyakoroga ,Siri zake zinazidi kuvuja,mengine labda sio kweli na mengine labda ni kweli.
Alafu Huyu si ametishia Maisha ya mange ,kwa Nini asichukuliwe hatua za kisheria ,yaani shekhe mzima unatishia kuroga!!haya let's wait for those the so cold mapepo sijui majini yamfuate mange uko kwa trump.
Kama mnamuachia mungu Huyu Huyu muumba vyote vinavyo elea,kuonekana na visivyo onekana msahau lolote baya ku token mange ,tambueni kwamba yeye pia Ana mungu na malaika wake wanao mlinda.
 
Sheikh ulichokitaka sasa umekipata. Mpare kakuvua nguo (kama anayoyaandika juu yako yana ukweli japo nusu) wewe chutama...ukikimbizana nae ni aibu maradufu
 
Lkn hawakosoi wanaoishabikia serikali,yy husema anayoona,
Tofauti na huyo ndg yenu yy badala ya kutulia aliko anajidai kukosoa wanaosema mapungufu ya serikali,
Hii ndo chanzo cha yalomkuta
Nafikiri mahaba yanakutesa.Mange kamtukana huyo shehe,hajamkosoa.Sijui hata kama unajua nini maana ya kukosoa.Kuwa kinyume na mtu sio kukosoa na shehe ajajibu kuwa kwanini kamkosoa na kwanini anakosoa SERIKALI, kwa wenye akili timamu wanaelewa kuwa mange sio mkosoaji.Kama walivyoviongoz wengine mnaowashabikia wakikosoa SERIKALI kama mnavyodai bas shehe katumia njia hiyo kumuonya aache kudhulumu HAKI ya viongoz.katoa kalipio na kwa iman yake yy anajua nini atafanya uwe mwisho wa mange kutukana watu.
 
Hata BAKWATA wenzake hawampendi ndio maana wakamshauri amjibu mange ili mambo yote yawe hadharani.
Duh! Ina maana wenzie walijua kitakachompata wakaamua kumsukumizia motoni
 
Nimewaonya watu kama wewe kila wakati ndani ya JF munafanyakazi kama wapambe. Kuna wapambe wa Nape, wapo wa Kimambi, wapo wa Zitto, wapo wa Lissu, nk. Kwa nini kazi yenu ni kutuletea mambo yao yasiyoeleweka na ku-post hapa JF?

Waambieni wao wenyewe waandike hapa JF. Binafsi sihitaji kusoma anachopost mtu kama Kimambi! I am an elephant to her thinking!
 
Bintiii waaakiislamu nae

Dua bin dua

Wakristo kaeni mbali kabisa
 

Attachments

  • FB_IMG_1518015253656.jpg
    27 KB · Views: 53
  • FB_IMG_1518015233684.jpg
    28.6 KB · Views: 52
  • FB_IMG_1518015237437.jpg
    26.1 KB · Views: 52
  • FB_IMG_1518015230295.jpg
    31.2 KB · Views: 52
NANGALIA FB KUMBE BINTI HAJJAT BANA AISEE...NAPITA TU
 
albadil ni uchawi na sio dua kama unavodhani
 
Usiposoma wewe nitasoma mimi, na wala hatupungukiwi kitu nymbafu we
 
Ushauri wa bure kwa Sheikh ubwabwa:
  • Bakwata haitakupeleka pazuri, kwani haizingatii nini kimesemwa katika Qur`an takatifu.
  • Bakwata haijajali elimu kwa waislam, kwani shule zenu zote ni zero tu, mpaka kwa wasioujua uislam wanadhani waislamu hawana akili kutokana na matokeo ya shule zenu.
  • Ukombozi wa elimu ulitokea wakati Rais Mwinyi alipokubali shule za kiislam zinaweza kuanzishwa bila kuwa chini ya BAKWATA. Na hapo ndio watu binafsi wakaweza kufungua shule zao zenye muelekeo wa maadili mazuri ya kiislam
  • Moja kati ya zao kuu la kujitoa BAKWATA kwa shule za kiislam ni shule ya sekondari ya ZAM ZAM- Bagamoyo. Angalia matokeo yake ya kidato cha pili yanavyopendeza.
Hivyo ushauri wangu nasaha kwa sheikh ubwabwa ni kuachana na waislam. Huyu sheikh aendeshe Taasisi yake ya BAKWATA kwa madhumuni yeyote watayejipangia, ikiwa ni ya kisiasa, kishetani, kibiashara n.k. Kuna kipindi Adam Nasibu alinunua magari yake mengi na kuweka NEMBO na jina kubwa BAKWATA. Haya sisi waislam hayatuhusu, ni nyie tu mtavyoamua.

Uislam utashamiri bila BAKWATA........ ACHA WAFU WAZIKANE.
 
Kwani yeye Sheikh anapotongoza wake za watu pale ofisini kwake anakuwa hajawatukana waislamu kivitendo?
 
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Al Haji Mussa Salimu amjibu mwanadada maarufu mtandaoni Mange Kimambi asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi. [HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]
 
Hana uwezowa kuwa na mfumo wa kumuwekea mtu mwisho wa kitu flani , namuonea huruma sana kwa sababu dogo limemtowa kinundu
 
Dada Mange Kimambi huku Tanzania kuna mchezaji anaitwa *EMMANUEL ANORD OKWI* anachezea SIMBA *tunaomba umchambe*.

Huyu wakati anasajiliwa Simba tulimwita MHENGA lakini sasa ndiye anaongoza kufunga magoli yaani YANGA hatuna raha kabisa na kwa jinsi spidi yake ilivyokali atafanya YANGA tukose ubingwa.

Da Mange please hide my ID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…