Hivi Diamond na Zari hawatukanwi au hao sio watuWatu wana akili fupi mno humu,shehe hakusema mange atakufa,alisema mwaka huu ndo mwisho wa kutukana,swali mange anatukana au ameacha kutukana?
Dua ya sheikh imesikika, Mange hatukani tena mtu.dua imeishia kwenye paa la nyumba
Jamani mwaka mwenyewe hata masaa 12 haujatimiza tayari tumesha conclude kuwa Mange hatukani?Watu wana akili fupi mno humu,shehe hakusema mange atakufa,alisema mwaka huu ndo mwisho wa kutukana,swali mange anatukana au ameacha kutukana?
Kwani ilikuwa mwaka mpya wa kikristo au kiislamu?😂😂😂
Kwani Mange umeona siku hizi anatukana?, Amebaki kuuza sura tu huko Instagram hana ishu tena
hahahahahakwa tafsiri ya vile sheikh alisema, ni Kama shekh ndo mshindi, kwasababu alisema atahakikisha hatatukana tena na ukiangalia ni kweli kwamba mange ameacha kabisa kushambulia watu Kama zamani
Pole sana Mange Kimambi,Ni kweli mwaka huu umekuwa Kimya sana,nadhani ukimya wako umetokana na habari mbaya ulizozipata July 2019 kwa kugundulika na Cancer ya maziwa(Breast Cancer),pole sana fuata ushauri wa Dr wa kuanza chemotherapy.Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.
Shehe kamnyamazisha Mange Kimambi Kama alivyoahidi ahadi yake imetimia.Badala ya kuandamana barabarani atakuwa anaandamana kwenda wodi ya wagonjwa wa kansa ya matitiPole sana Mange Kimambi,Ni kweli mwaka huu umekuwa Kimya sana,nadhani ukimya wako umetokana na habari mbaya ulizozipata July 2019 kwa kugundulika na Cancer ya maziwa(Breast Cancer),pole sana fuata ushauri wa Dr wa kuanza chemotherapy.
Sheikh ni noma mwaka 2019 umekuwa mbaya sana kwa Mange,alivyosema sasa anaachana kupigania waTZ kumbe ndio alikuwa anaanza kuumwa,ilipofika july akaenda kupima ndipo alipogundulika na Breast Cancer.Shehe kamnyamazisha Mange Kimambi Kama alivyoahidi ahadi yake imetimia.Badala ya kuandamana barabarani atakuwa anaandamana kwenda wodi ya wagonjwa wa kansa ya matiti
Hakuna dua kubwa kama kitita,kama alipokea chake vipi.Maana kila apigae kelele ni njaa inamsumbua akiitwa mezani akaipata shibe hio kelele itoke wapi.Watz wakishaitwa mezani utosikia tena kelele dr slaa,mtatiro,waitara,mkumbo,kafulila,machali,list ni ndefuShehe kamnyamazisha Mange Kimambi Kama alivyoahidi ahadi yake imetimia.Badala ya kuandamana barabarani atakuwa anaandamana kwenda wodi ya wagonjwa wa kansa ya matiti
Warudie tena kumpima watamkuta Ana maradhi mengine zaidi ya huoSheikh ni noma mwaka 2019 umekuwa mbaya sana kwa Mange,alivyosema sasa anaachana kupigania waTZ kumbe ndio alikuwa anaanza kuumwa,ilipofika july akaenda kupima ndipo alipogundulika na Breast Cancer.
Huyu sheik mfirwaji ama... YupiShehe kamnyamazisha Mange Kimambi Kama alivyoahidi ahadi yake imetimia.Badala ya kuandamana barabarani atakuwa anaandamana kwenda wodi ya wagonjwa wa kansa ya matiti
Sheikh ni noma mwaka 2019 umekuwa mbaya sana kwa Mange,alivyosema sasa anaachana kupigania waTZ kumbe ndio alikuwa anaanza kuumwa,ilipofika july akaenda kupima ndipo alipogundulika na Breast Cancer.
dua imeishia kwenye paa la nyumba
Wewe YEHODAYA hukumbuki juzi tumeambiwa tusipende kuwaombea wengine mabaya kama kigogo2014? Tena tuliambiwa hayo huku tukiburudishwa na wimbo wa Gozbert uimbao "hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ...."?Warudie tena kumpima watamkuta Ana maradhi mengine zaidi ya huo
Fact!!Hakuna dua kubwa kama kitita,kama alipokea chake vipi.Maana kila apigae kelele ni njaa inamsumbua akiitwa mezani akaipata shibe hio kelele itoke wapi.Watz wakishaitwa mezani utosikia tena kelele dr slaa,mtatiro,waitara,mkumbo,kafulila,machali,list ni ndefu
Kama kuna ukimwi wa kurogwa sembuse kansaKansa hailetwi kwa uchawi wewe.
Mange si mtu wa kunyamazishwa kisa kansa, Mange kala mpunga mkubwa wa Jiwe ili anyuti!